Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
Usiwe mzembe kama kuku wa kisasa,habari za kukamatwa kwa huyo wakili ziko humu tangu mwanzoni mwa wiki hii sasa wewe unakumbuka ya shimboi tu kwakuwa imevuma sana. Jitahidi kuchakura usipende kutafuniwa kila kitu.I am not that credulous to accept anything coming my way. This thread is akin to Shimbo's story and will equally end up thrashed. We have a lot of sensitive and exigent issues requiring swift solutions, rather than engaging into discussing slanderous tales.
Kama TISS na POLICE wako ICU acha tu interpol watusaidie japo kutuonyesha wabaya wetu ingawa sina hakika kama watachukuliwa hatua zozote za kisheria,tutaishia tu kuwafahamu kwa majina.Kumbe haya mamlaka tumeyakabidhi Interpol, poor Tanzania !
I am not that credulous to accept anything coming my way. This thread is akin to Shimbo's story and will equally end up thrashed. We have a lot of sensitive and exigent issues requiring swift solutions, rather than engaging into discussing slanderous tales.
Mbona kwenye maandamano ya CDM polisi wetu wako 'active' kinoma....mpaka wanakujaga na misamiati...sijui..taarifa za kiitelijinsia...Lakini inapokuja 'issue' ya kuhujumu uchumi ...si.. TAKUKURU..wala..TEETH...sory..TISS...wanaokuwa na hizo taarifa..kila kitu..Interpoll...Shame on You!!mimi nathani tufukuze poilisi wetu na tuajiri interpool....
Labda Interpol watatusaidia. Inaumiza sana.
Hapa kuna some international schemes involved, kama siyo ring la wizi wa magari na biashara ya madawa ya kulevya sijui.
Huyu wakili anatumika katika "money laundering" ndiyo maana anatembea na kiasi kikubwa cha fedha halafu anasema ni kwa "matumizi madogo".
Interpol hawaji nchini kwako kwa mambo ya wizi wa ndani ya nchi unless umewaalika, na tunajua CCM haiwezi kuwaalika kwa sababu wezi wa kwanza ni vigogo wa CCM.
Kwani kuna ukomo wa kumiliki pesa kwa mtanzaina?
Nakubaliana na wewe kuna ring fulani ya uhalifu wa kimataifa Interpol wanaifuatilia.Hapa kuna some international schemes involved, kama siyo ring la wizi wa magari na biashara ya madawa ya kulevya sijui.
Huyu wakili anatumika katika "money laundering" ndiyo maana anatembea na kiasi kikubwa cha fedha halafu anasema ni kwa "matumizi madogo".
Interpol hawaji nchini kwako kwa mambo ya wizi wa ndani ya nchi unless umewaalika, na tunajua CCM haiwezi kuwaalika kwa sababu wezi wa kwanza ni vigogo wa CCM.
Mkuu, Interpol watawafichua, polisi na TISS watawalinda kwa gharama zoote! This Is Tanzania (TIT)Kama TISS na POLICE wako ICU acha tu interpol watusaidie japo kutuonyesha wabaya wetu ingawa sina hakika kama watachukuliwa hatua zozote za kisheria,tutaishia tu kuwafahamu kwa majina.
wewe unaotaKama TISS na POLICE wako ICU acha tu interpol watusaidie japo kutuonyesha wabaya wetu ingawa sina hakika kama watachukuliwa hatua zozote za kisheria,tutaishia tu kuwafahamu kwa majina.
Angalia usije ukawa unamuombea mabaya Mfadhili wenu mkuu...AM ndiyo kinini mpaka aogopwe na serikali?huyo wakili piga shaba afie mbali