Poor CCM...mbona Chenge wamemwacha bila kumkamata, hata pale alipoua kesi ilinionekana ni kuendesha gari bila makosa, ila sio kuua! Poor CCM AND THEIR LEADERS..haya mambo yana mwisho...
Na hakika akina Mkono, Mkapa, Mizindakaya, Idd Simba, Masaburi, JK, Ridhiwan, Mgonja, Jairo, Mboma, Shimbo, Mahita, wana vijisenti zaidi ya hivi!
Kwanini Mashalla? Why Mashalla. Inawezakana alimsapoti Lema kwenye kampeni, akampiga chini Burian...likewise he supported Dr. Slaa and not JK..wakaamua kumfanyizia. Si unajua serikali ya JK ni ya visasi..