Abtali mwerevu
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 665
- 515
OKEndapo umechaguliwa kufanya interview katika ajira za ualimu katika mkoa wa Iringa, naomba namba yako PM, au hapa kama inawezekana, kuna mdau ana group kwa ajili ya kushare mawili matatu.
poa mwalimu.safari njemaUmoja ni nguvu kiongozi. Pia, Iringa ni safari hivyo mkiwa wengi mnaweza mkapanga hata mahali pa kufikia na mambo mengine.
Haifahamiki, lakini wakiwa wengi wanaokwenda huko, majibu ya maswali kama haya yatapatikana.Iringa inafanyikia wapi
Mbona mliofanikiwa Huwa mnaviburi Sana mkuu?Wa Tandahimba, msije PM
Unamaanisha nini mkuu ?Mbona mliofanikiwa Huwa mnaviburi Sana mkuu?
Wabebe na unga wa dona kila moja kila mmoja, sawa ?kama uko na wenzio na hamna pa kufikia mnichek PM tupange namna, nione mko wangapi maana sehem ya kufikia ipo
ππππWabebe na unga wa dona kila moja kila mmoja, sawa ?
Unadhani Kwanini pdf la waliokuwa shortlisted, limeondolewa kwenye pages za PSRS ?Endapo umechaguliwa kufanya interview katika ajira za ualimu katika mkoa wa Iringa, naomba namba yako PM, au hapa kama inawezekana, kuna mdau ana group kwa ajili ya kushare mawili matatu.
Nani kakuambia?Unadhani Kwanini pdf la waliokuwa shortlisted, limeondolewa kwenye pages za PSRS ?
Asking for a friend.
We jamaasUnadhani Kwanini pdf la waliokuwa shortlisted, limeondolewa kwenye pages za PSRS ?
Asking for a friend.
Niambie mwananguWe jamaas
Mimi najuaNani kakuambia?