D DAVIES JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 516 Reaction score 90 Jan 2, 2012 #1 Jamani wadau nauliza kama oral interview kcmc imefanyika maana walitoa nafasi za kazi deadline 31.11.11 nashangaa mpaka sasa kimya au walishafanya mtujuze maana udom nasikia tayari upande wa afya ila tulioomba hatukupewa taarifa
Jamani wadau nauliza kama oral interview kcmc imefanyika maana walitoa nafasi za kazi deadline 31.11.11 nashangaa mpaka sasa kimya au walishafanya mtujuze maana udom nasikia tayari upande wa afya ila tulioomba hatukupewa taarifa
N Nsuri JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 1,013 Reaction score 562 Jan 2, 2012 #2 Kwani ni lazima wakuite???halaf mbona hakuna tarehe 31.11.11??
D DAVIES JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 516 Reaction score 90 Jan 2, 2012 Thread starter #3 Nsuri said: Kwani ni lazima wakuite???halaf mbona hakuna tarehe 31.11.2011?? Click to expand... Vitu vingine sio lazima upewe notsi na mwalim kama hujui kaa kimya wenzako wachangie nini hakieleweki hapo @nsuri
Nsuri said: Kwani ni lazima wakuite???halaf mbona hakuna tarehe 31.11.2011?? Click to expand... Vitu vingine sio lazima upewe notsi na mwalim kama hujui kaa kimya wenzako wachangie nini hakieleweki hapo @nsuri