Interview KCMC

Interview KCMC

DAVIES

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
516
Reaction score
90
Jamani wadau nauliza kama oral interview kcmc imefanyika maana walitoa nafasi za kazi deadline 31.11.11 nashangaa mpaka sasa kimya au walishafanya mtujuze maana udom nasikia tayari upande wa afya ila tulioomba hatukupewa taarifa
 
Kwani ni lazima wakuite???halaf mbona hakuna tarehe 31.11.11??
 
Kwani ni lazima wakuite???halaf mbona hakuna tarehe 31.11.2011??

Vitu vingine sio lazima upewe notsi na mwalim kama hujui kaa kimya wenzako wachangie nini hakieleweki hapo @nsuri
 
Back
Top Bottom