vigilia
Member
- Dec 12, 2011
- 33
- 11
we nae kiingereza mayi olo. 'He is real deserve' ndo nn.Hata mie nimeipenda, na hata mie ningekuwa ni miongoni mwa employer na mtu anataka kazi ya ulinzi anaongea ukweli mtupu, he is real deserve, maisha ni vita pigana, vita, vita ni kifo, kifo ni mwisho wa kila kitu. So kile unamiliki ni hazina pekee uliopewa na mwenyezi kitumie sasa