Interview kwa Wafungwa.

Interview kwa Wafungwa.

GoPPiii.

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2014
Posts
1,792
Reaction score
3,075
Salam salam.

Kuna filamu za nje (Ulaya na Amerika) zenye maudhui ya wafungwa zingine zikijikita katika kuwahoji wafungwa, yaani maisha waliyoishi kabla, makosa waliyoyafanya,hukumu walizopewa,na maendeleo yao huko gerezani.

Napenda kuuliza kama hili la kufanya mahojiano na wafungwa haswa waliofanya makosa makubwa,ili kuweza kutengeneza vitabu,filamu, kwa lengo la kujifunza kwa hapa kwetu kama linawezekana.

Kama linawezekana ni utaratibu upi natakiwa kuufuata.

Shukrani.
 
Hapa kwetu kuiga mavazi ya majeshi kwa shughuli za sanaa ni kasheshe sembuse kuwahoji wafungwa? Kwanza hakuna sheria inayoruhusu mfungwa kuhojiwa kwa mambo ya nje ya magereza
 
Back
Top Bottom