Fredrick Mmari
Senior Member
- Jul 8, 2013
- 144
- 37
Habari wana jamvi.
Ningependa kueleweshwa kwa mtu yeyote aliyewahi kuitwa kwenye interview kwenye chuo cha Mwalim Nyerere Memorial Academy-Kigamboni.
Kama kuna form yoyote ya kulipia na gharama zake n.k