Interview Mwalimu Nyerere Memorial Academy

Kikomelo

Senior Member
Joined
Sep 12, 2011
Posts
106
Reaction score
57
Leo nimeudhuria written interview pale MNMA, na nimeona pepa lao kama lilikuwa fair ivi. Na kilichonifurahisha ni kuwa utumishi wamebadilika bwana! Kabla hatujaondoka tumeambiwa kuwa kuanzia sa tisa tutembelee web yao kuona matokeo! Naona malalamiko ya wadau yamefanyiwa kazi. Matokeo kwenye web!! hiyo ni hatua kubwa kwa kweli, nawapongeza sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…