Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
CC:Inna![emoji23] [emoji23] [emoji23]OMG[emoji87] maybe Saint Ivuga[emoji85]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CC:Inna![emoji23] [emoji23] [emoji23]OMG[emoji87] maybe Saint Ivuga[emoji85]
Nawe uwe na kiasi si kwa kujipendekeza huko since saa nne umeng'ang'ana Wewe tu! Wapishe na wenzio si kila ndoo ni ya kuonyeshea runguSatisfied how!
Wengine kwenye ndoa wanawake wako tayari kwenda extra miles kudumisha ndoa zao
Je upo Tayari kumtunuku jicho au tigo mumeo ili asiende nje akikuomba maybe!
DJ sepetu
I mean aniridhishe hata kama ana kibamia,.Tigo siwezi mpa kwa hili Niko tayari kuvunja NDOA kwa imani ya dini yangu uasherati kama mume/mke amefanya na kuthibitika baaasi NDOA inavunjwa bila mjadala....siwezi kufa kwa kumtunuku mume Tigo wakati najua hayo yote mwisho wake ni duniani tuu hapa mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa(kwa imani yangu)so kwann nijikoseshe pepo kwa kumpa sehemu ambayo ni chukizo machoni pa MUNGU!??Satisfied how!
Wengine kwenye ndoa wanawake wako tayari kwenda extra miles kudumisha ndoa zao
Je upo Tayari kumtunuku jicho au tigo mumeo ili asiende nje akikuomba maybe!
DJ sepetu
Anything too much is harmfulMakubwa wivu haujawahi kumuacha njemba salama[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Hahaha bora ikaliwe Na nyenyere etiI mean aniridhishe hata kama ana kibamia,.Tigo siwezi mpa kwa hili Niko tayari kuvunja NDOA kwa imani ya dini yangu uasherati kama mume/mke amefanya na kuthibitika baaasi NDOA inavunjwa bila mjadala....siwezi kufa kwa kumtunuku mume Tigo wakati najua hayo yote mwisho wake ni duniani tuu hapa mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa(kwa imani yangu)so kwann nijikoseshe pepo kwa kumpa sehemu ambayo ni chukizo machoni pa MUNGU!??
Usisahau kumuuliza kama chura ipo![emoji28][emoji28][emoji28][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Baada ya saa Tisa unusu
DJ sepetu
Iliwe tuu na sisimizi hahaha,.Mamangu mzazi nitamuokoa kwa nguvu zoooooote....halafu mambo ya kafara bwana hapana[emoji28] [emoji28] [emoji28] naomba ulipe kisogoHahaha bora ikaliwe Na nyenyere eti
Kati ya baba mama mtoto Na mume yupi unaweza mtoa kafara upate Mali!?
Yupi unaweza muokoa ikiwa una chance ya kuokoa mmoja tu kwann
DJ sepetu
Nampenda sana my SUPER WOMAN MAMA ameji sacrifice sana juu yangu,kajinyima kajikosesha mambo matam ili tuu mm nifurahi nampenda jamanii huyu mwanamke siwezi elezea hapa.Iliwe tuu na sisimizi hahaha,.Mamangu mzazi nitamuokoa kwa nguvu zoooooote....halafu mambo ya kafara bwana hapana[emoji28] [emoji28] [emoji28] naomba ulipe kisogo
Unaweza olewa Na kapuku!Iliwe tuu na sisimizi hahaha,.Mamangu mzazi nitamuokoa kwa nguvu zoooooote....halafu mambo ya kafara bwana hapana[emoji28] [emoji28] [emoji28] naomba ulipe kisogo
Usisahau kumuuliza amevaa pichu ya rangi gani?Tisa unusu[emoji23] [emoji23] shosti
DJ sepetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu ukiona avatar yk una..di..nda je ukiona chura [emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Naweza olewa nae ila akubali kubadilika na apende kubadilika kutoka ukapuku na kuwa mwenye nacho(naweza kumbadili kama nayy atakuwa radhi)mshahara Wangu siwezi kumpa mwanaume.Unaweza olewa Na kapuku!
Finances ktk ndoa zinaweza kuwa managed vipi!
Salary yk utamkabithi mumeo!?
DJ sepetu
Nilimwambia naona amekomaa peke yake!Nawe uwe na kiasi si kwa kujipendekeza huko since saa nne umeng'ang'ana Wewe tu! Wapishe na wenzio si kila ndoo ni ya kuonyeshea rungu
Ku manage financial issues katika NDOA ni suala LA wote wawili mume na mke kukaa chini na kupanga kwa pamoja..though naweza kumanage myself.Naweza olewa nae ila akubali kubadilika na apende kubadilika kutoka ukapuku na kuwa mwenye nacho(naweza kumbadili kama nayy atakuwa radhi)mshahara Wangu siwezi kumpa mwanaume.
Aisee chako chako chako chenu[emoji23] [emoji23] linapokuja suala la kumtambua mchumba Na mbanduaji hit and run unatumia mbinu gani!!Naweza olewa nae ila akubali kubadilika na apende kubadilika kutoka ukapuku na kuwa mwenye nacho(naweza kumbadili kama nayy atakuwa radhi)mshahara Wangu siwezi kumpa mwanaume.