Interview na bibie mumu

Satisfied how!
Wengine kwenye ndoa wanawake wako tayari kwenda extra miles kudumisha ndoa zao
Je upo Tayari kumtunuku jicho au tigo mumeo ili asiende nje akikuomba maybe!

DJ sepetu
I mean aniridhishe hata kama ana kibamia,.Tigo siwezi mpa kwa hili Niko tayari kuvunja NDOA kwa imani ya dini yangu uasherati kama mume/mke amefanya na kuthibitika baaasi NDOA inavunjwa bila mjadala....siwezi kufa kwa kumtunuku mume Tigo wakati najua hayo yote mwisho wake ni duniani tuu hapa mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa(kwa imani yangu)so kwann nijikoseshe pepo kwa kumpa sehemu ambayo ni chukizo machoni pa MUNGU!??
 
Hahaha bora ikaliwe Na nyenyere eti
Kati ya baba mama mtoto Na mume yupi unaweza mtoa kafara upate Mali!?
Yupi unaweza muokoa ikiwa una chance ya kuokoa mmoja tu kwann

DJ sepetu
 
Hahaha bora ikaliwe Na nyenyere eti
Kati ya baba mama mtoto Na mume yupi unaweza mtoa kafara upate Mali!?
Yupi unaweza muokoa ikiwa una chance ya kuokoa mmoja tu kwann

DJ sepetu
Iliwe tuu na sisimizi hahaha,.Mamangu mzazi nitamuokoa kwa nguvu zoooooote....halafu mambo ya kafara bwana hapana[emoji28] [emoji28] [emoji28] naomba ulipe kisogo
 
Iliwe tuu na sisimizi hahaha,.Mamangu mzazi nitamuokoa kwa nguvu zoooooote....halafu mambo ya kafara bwana hapana[emoji28] [emoji28] [emoji28] naomba ulipe kisogo
Nampenda sana my SUPER WOMAN MAMA ameji sacrifice sana juu yangu,kajinyima kajikosesha mambo matam ili tuu mm nifurahi nampenda jamanii huyu mwanamke siwezi elezea hapa.
 
Iliwe tuu na sisimizi hahaha,.Mamangu mzazi nitamuokoa kwa nguvu zoooooote....halafu mambo ya kafara bwana hapana[emoji28] [emoji28] [emoji28] naomba ulipe kisogo
Unaweza olewa Na kapuku!
Finances ktk ndoa zinaweza kuwa managed vipi!
Salary yk utamkabithi mumeo!?

DJ sepetu
 
Unaweza olewa Na kapuku!
Finances ktk ndoa zinaweza kuwa managed vipi!
Salary yk utamkabithi mumeo!?

DJ sepetu
Naweza olewa nae ila akubali kubadilika na apende kubadilika kutoka ukapuku na kuwa mwenye nacho(naweza kumbadili kama nayy atakuwa radhi)mshahara Wangu siwezi kumpa mwanaume.
 
Naweza olewa nae ila akubali kubadilika na apende kubadilika kutoka ukapuku na kuwa mwenye nacho(naweza kumbadili kama nayy atakuwa radhi)mshahara Wangu siwezi kumpa mwanaume.
Ku manage financial issues katika NDOA ni suala LA wote wawili mume na mke kukaa chini na kupanga kwa pamoja..though naweza kumanage myself.
 
Naweza olewa nae ila akubali kubadilika na apende kubadilika kutoka ukapuku na kuwa mwenye nacho(naweza kumbadili kama nayy atakuwa radhi)mshahara Wangu siwezi kumpa mwanaume.
Aisee chako chako chako chenu[emoji23] [emoji23] linapokuja suala la kumtambua mchumba Na mbanduaji hit and run unatumia mbinu gani!!
Ushawahi kopwa penzi !?
I mean kutumiwa Na kumbwagwa!

DJ sepetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…