Interview na bibie mumu

Maswali ya mwisho kutoka kwangu!
Kwa Hali ya sasa unawashauri vijana wajielekeze ktk sectors zipi!?
Ndoto yako ni ipi

DJ sepetu
Sector ya kilimo kwa nchi yetu Bado tunanafasi kubwa ya uzalishaji chakula,tuna ardhi safi,Maji yakutosha so tunaweza kuzalisha na kuuza hata kwa mataifa mengine ulimwenguni.

NDOTO yangu ni kuja kuwa mjasiriamali aliyekamilika.
 
Mumi nampenda sanaaa.
Afu nina zawadi ya keki yake. Popote itakapomuona mpe salamu zangu.
Afu wewe kifutu mbon tumbo linalitoka sana.
Unakula sana matoke nini!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] daah afu nimekumiss ujue naona mambo si mabaya..me ndo umen nyima hyo keki eee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…