Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Sector ya kilimo kwa nchi yetu Bado tunanafasi kubwa ya uzalishaji chakula,tuna ardhi safi,Maji yakutosha so tunaweza kuzalisha na kuuza hata kwa mataifa mengine ulimwenguni.Maswali ya mwisho kutoka kwangu!
Kwa Hali ya sasa unawashauri vijana wajielekeze ktk sectors zipi!?
Ndoto yako ni ipi
DJ sepetu
NDOTO yangu ni kuja kuwa mjasiriamali aliyekamilika.