Galapagosi
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 2,848
- 2,637
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wanawake waliofunga Pm zao sidhani kama interview za huyu jamaa zitawapata.
Umesemaaa???Nimetoka tu saivi kaka
Hee! Nimeenda kwa shop
Kununua vocha tayari kwa bundle![emoji12] [emoji12]
DJ sepetu
Ngoja nisiendeleeNn tena[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Unatumia njia gani kufungua au na wewe wamekupa ratiba mda wanaofungua pm zao?Huwa wanafungua [emoji12]
DJ sepetu
Mimi nipo already
Anakuja subir tu mkuuMbiti umemuacha wapi[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Well,..nimezaliwa kinondoni DSM Nina miaka 25 Nina diploma ya project planning and management,Niko single[emoji4]ok.... tueleze historia yako kwa kifupi...
mkoa ulozaliwa...umri(kama hutojali ) , kiwango cha elim, proffession yako , marital status n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimependa hapo ulipo single [emoji39]Well,..nimezaliwa kinondoni DSM Nina miaka 25 Nina diploma ya project planning and management,Niko single[emoji4]
Upo single kwa maana IPI? ulikuwa nae mmeachana au haijawahi kuwa nae?Well,..nimezaliwa kinondoni DSM Nina miaka 25 Nina diploma ya project planning and management,Niko single[emoji4]
Kwann[emoji12] [emoji85]Nimependa hapo ulipo single [emoji39]
Nimeona fursaKwann[emoji12] [emoji85]
Nilikuwa nae ila kwa bahati nzuri au mbaya tumeachana,ni mwaka na nusu sasa.Upo single kwa maana IPI? ulikuwa nae mmeachana au haijawahi kuwa nae?
Ha ha haaNimeona fursa