Galapagosi
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 2,848
- 2,637
Mzee wa fursa mi alinikataa alisema kuna mtu anakuja kumpa jibu mwezi huu.Halafu nakumbuka nilishakutongoza wewe ukaniahidi kunipa jibu langu mwezi huu tena tulikubaliana liwe zuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa fursa mi alinikataa alisema kuna mtu anakuja kumpa jibu mwezi huu.Halafu nakumbuka nilishakutongoza wewe ukaniahidi kunipa jibu langu mwezi huu tena tulikubaliana liwe zuri.
Mkuu hapo ndipo nashangaa.
Nadhan utakuwa bado unadeka uwii!Of course kudeka kupo,ila nashukuru familia ilinilea vzr kwa misingi yote inayofaa kumkuza mtoto kijamii,kiimani na hata kitamaduni pia. Kwahiyo sijaathirika labda changamoto tuu ambazo ni part and parcel of life.
Takribani miaka 4,.kwakweli nilikuwa namiss jinsi tulivyozoeana tulikuwa ni zaidi ya wapenzi,alikuwa mnyenyekevu pia na mchangamfu.Mlidumu penzini kwa muda gani?
Na nini unajutia na kukumbuka kutoka kwake kama ex wako?
mkuu kila mdada humu ni msimbe tu mi nimechoka hakuna hata bikiraMkuu hapo ndipo nashangaa.
Mumu tulia kwanza baby nimekuambia utawajibu badae du!Takribani miaka 4,.kwakweli nilikuwa namiss jinsi tulivyozoeana tulikuwa ni zaidi ya wapenzi,alikuwa mnyenyekevu pia na mchangamfu.
Cc mbitimkuu kila mdada humu ni msimbe tu mi nimechoka hakuna hata bikira
Yaan wote washaachika
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha watakuskia soonmkuu kila mdada humu ni msimbe tu mi nimechoka hakuna hata bikira
Yaan wote washaachika
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh,.kwakweli HAPANA kwa mm kuwa na mwanaume niliyemzidi umri siwezi labda tuu anidanganye yy kuwa ana umri mkubwa while ni Mdogo,.kwasababu naamini(binafsi)kuwa ni mdogo tuu kwangu na mwisho wa siku nitajikuta namgombeza kama Mdogo Wangu ile hali ya heshma naona itapungua kwasababu ni Mdogo tuu hata iweje.Mumu wanasema age ni number tu kwenye mahusiano na ndoa pia je kama wewe uko tayari kua na mwanamme under ur age means miaka 22 may be to 24?kama ndio kwanini na kama sio kwanini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiherehere[emoji9] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji85]Kujibu jibu bila mpangilio kunaondoa radha we like tu comments
DJ sepetu
Lipi!?Kuna swali umeacha uwe unalike mumu
DJ sepetu
Pole sana! Kwa hisia zako ulivyojaribu kudadisi unahisi Sababu ya yeye kukuacha alikuwa yeye au wewe kuna mahali ulimkosea?Takribani miaka 4,.kwakweli nilikuwa namiss jinsi tulivyozoeana tulikuwa ni zaidi ya wapenzi,alikuwa mnyenyekevu pia na mchangamfu.