DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
- Thread starter
- #121
Umesema kuwa una degree ya marketing[emoji28] [emoji28] acha tuu ndio hivyo na tangu aitoe sikuwa kumpa tena na sitompa tena...sijawahi kumtongoza mwanaume ila nimewahi kuwatamani na kuvumilia tuu,.daah mpaka nimemvulia chupi mwanaume kuna Kiasi nimemuamini,na najua yuko makini na anajali hisia zangu in case of anything hatokubali niumie.
Je umeajiriwa au umejiajiri
DJ sepetu