Interview na bibie mumu

Interview na bibie mumu

Aaah wapi hamna jambo gumu likakosa ufumbuzi bwana[emoji18]
Katika kumlidhisha mwanaume asitoke nje![emoji23] [emoji23] ukapinduliwa je
Huwa unashika mic aka kulamba koni!
Ushawahi kuzamiwa chumvini!
Kwann house girls wanafanya mapinduzi sana these days

DJ sepetu
 
mumu....ukiwa kama kijana umeathirika /umenufaika vp na huu mfumo (awamu ya tano ) nn maoni yako ?


lini ulianza kuitumia jf? ni jukwaa gan linakuvutia , ?

kama mwanamke ni changamoto gan unayokutana nayo jf ? matapel...mtongozo n.k

kwa umri wako huo...ulishawah kumiliki kias gan cha fedha ambacho ni kikubwa ? ulizipataje ? ulizifanyia nn ?

single moms wanasakamwa sana hapa.....je kama mwanamke unalichukuliaje hili ?

ulisex for the 1st time ukiwa na umri gan...?

Sent using Jamii Forums mobile app

Khaaa maswali kama ya TRA

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ndio maswali ya maana
 
Katika kumlidhisha mwanaume asitoke nje![emoji23] [emoji23] ukapinduliwa je
Huwa unashika mic aka kulamba koni!
Ushawahi kuzamiwa chumvini!
Kwann house girls wanafanya mapinduzi sana these days

DJ sepetu
Chumvini??[emoji47] [emoji85] [emoji85] hahha mic/koni nimewahi kusuck kwa sababu nilimpenda....ila sijawahi Fanya kwa mtu ambaye simpendi.
 
Party time sex ooohooo!
Unapanga lini kufunga ndoa!
Je unatamani kuolewa Na nani humu jf?
Like who would you date!

DJ sepetu
Nasubiria jibu hapa...[emoji2] [emoji2]
Kuanzia mwakani nahisi nitakuwa tayari kwa mahusiano na ndoa kabisa...Jf navutiwa na wengi eti[emoji85] hahaha
Nasubiri unitaje mimi...[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Katika kumlidhisha mwanaume asitoke nje![emoji23] [emoji23] ukapinduliwa je
Huwa unashika mic aka kulamba koni!
Ushawahi kuzamiwa chumvini!
Kwann house girls wanafanya mapinduzi sana these days

DJ sepetu
House girls wanafanya mapinduzi kwasababu wanawake wa siku hizi wengi hawasimami kwenye zamu zao,wanawaachia majuku yao wadada wa kazi hapo ndipo wanapo wapa mianya ya kufanya mapinduzi....wanawake baadhi uvivu unawacost.
 
Back
Top Bottom