Interview na bibie mumu

Interview na bibie mumu

Sasa nikizisema hapa si wataniibia [emoji23] [emoji23]
Unaweza kuwa Na shindu usijue kulitumia[emoji23] [emoji23]
Shusha nondo mbili tatu

DJ sepetu
 
Sasa nikizisema hapa si wataniibia [emoji23] [emoji23]
Anyway, ni UPENDO wa kweli,UTII,Kumjali,kumheshimu na kumpa nafasi yake kama mume(kiongozi wa familia),kujali hisia zake na kizifanyia kazi na MAHABA(hapa ndio nitammaliza stress zake na uchovu wake wooote)[emoji4]
 
Jambo lililonifurahisha kwa wakati Niko Mdogo ni kusafiri pekeangu kwa ndege kutoka mkoa mwingine hadi mwingine niliona wazazi wananiamini kuwa naweza kujismamia mwenyewe,
Duhh....[emoji15] [emoji15]
Hadi nazeeka sijawahi kuchenga mawimbi kwa mkuyati wa chuma...[emoji45] [emoji45]
 
Back
Top Bottom