Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu....Poa my
DJ sepetu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Ushamaliza kazi za home??
Sasa nikizisema hapa si wataniibia [emoji23] [emoji23]Unasema mwakani wawekwa ndani eti
Zipi ni silaha zako za kumkalisha mumeo\mwanaume ambazo wanawake wengine hawana!
DJ sepetu
Sitaki kuongeza neno, lakini naunga mkono hoja...[emoji2] [emoji2] [emoji2]inawezekana hizi interview huwa mnajadiliana pm ndo mnakuja kutuzuga huku, anyway twasubiria
Ngw'ana Kabula
Jungu kuu halijawahi kukosa ukoko.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]Ile interview aliyonihoji joanal imeniletea majanga,ngoja jioni nitapandisha Uzi hapa jf!
DJ sepetu
Anyway, ni UPENDO wa kweli,UTII,Kumjali,kumheshimu na kumpa nafasi yake kama mume(kiongozi wa familia),kujali hisia zake na kizifanyia kazi na MAHABA(hapa ndio nitammaliza stress zake na uchovu wake wooote)[emoji4]Sasa nikizisema hapa si wataniibia [emoji23] [emoji23]
Pigia mstari....[emoji12] [emoji12] [emoji12]wanawake waliofunga Pm zao sidhani kama interview za huyu jamaa zitawapata.
Duhh....[emoji45] [emoji45]Mumu wewe ni mtoto Wa ngapi kuzaliwa
DJ sepetu
Wa pili na wa mwisho
Ha ha ha ha ha ha ha haUshamaliza kazi za home??
Hili swali ulipaswa umuulize baba na mama yake...[emoji45] [emoji45]Aisee kwann mlizaliwa wachache hivyo
Je ni uzazi Wa mpango
DJ sepetu
Nini maana ya neno msimbe..[emoji15] [emoji15]
Rafiki una fani ya upelelezi.... Ha ha ha ha ha ha ha..... Unajua kumuuliza mtu maswali...... Point noted.Ngoja nisiendelee
Aaah wapi hamna jambo gumu likakosa ufumbuzi bwana[emoji18]Unaweza kuwa Na shindu usijue kulitumia[emoji23] [emoji23]
Shusha nondo mbili tatu
DJ sepetu
Duhh....[emoji15] [emoji15]Jambo lililonifurahisha kwa wakati Niko Mdogo ni kusafiri pekeangu kwa ndege kutoka mkoa mwingine hadi mwingine niliona wazazi wananiamini kuwa naweza kujismamia mwenyewe,