Interview na bibie mumu

Interview na bibie mumu

[emoji28] [emoji28] acha tuu ndio hivyo na tangu aitoe sikuwa kumpa tena na sitompa tena...sijawahi kumtongoza mwanaume ila nimewahi kuwatamani na kuvumilia tuu,.daah mpaka nimemvulia chupi mwanaume kuna Kiasi nimemuamini,na najua yuko makini na anajali hisia zangu in case of anything hatokubali niumie.
Umesema kuwa una degree ya marketing
Je umeajiriwa au umejiajiri

DJ sepetu
 
mumu....ukiwa kama kijana umeathirika /umenufaika vp na huu mfumo (awamu ya tano ) nn maoni yako ?

lini ulianza kuitumia jf? ni jukwaa gan linakuvutia , ?

kama mwanamke ni changamoto gan unayokutana nayo jf ? matapel...mtongozo n.k

kwa umri wako huo...ulishawah kumiliki kias gan cha fedha ambacho ni kikubwa ? ulizipataje ? ulizifanyia nn ?

single moms wanasakamwa sana hapa.....je kama mwanamke unalichukuliaje hili ?

ulisex for the 1st time ukiwa na umri gan...?

Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaa maswali kama ya TRA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha mtaji uliupata wapi
Changamoto za biashara ni zipi

DJ sepetu
Mama yangu ndie alinipa mtaji Mara baada ya masomo,.hakuna jambo linakosa changamoto but kwenye biashara yangu changamoto kama kuchelewa kulipwa na mteja,Usumbufu wa kucheleweshewa mzigo wa biashara(mchele,maharagwe),kupata hasara ya pesa tofauti na ulivyotegemea n.k
 
Mpenzi uliyekuwa naye amechangia vipi biashara zako?
Kwa namna yeyote mwanaume ana mkono ktk harakati zako

DJ sepetu
 
Am single muosha rungu,.napambana na hali yangu[emoji1] [emoji1] kama ni mwanaume Basi ni ndugu na si mpenzi
Ila unatoaje nyegez!![emoji23] [emoji23]
Kwanini ulichagua wazo hilo la kibiashara lilichangiwa Na ufinyu Wa mtaji au wepesi wake
Ni kwa vipi unapunguza hasara

Nilichagua kufanya biashara hii kwakuwa mm ni mpishi mzuri pia hivyo kuna muda huwa napata tenda ya kupika kwenye masemina,birthday parties so huwa siendi kununua kwingine zaidi ya dukani kwangu kwahiyo najiungisha mwenyewe pesa haiendi mbali kwahiyo nililiona ni jambo jepesi kwangu kibiashara,.kutoa nyeziiii[emoji56] [emoji56] woww hahahah najua nafanya nn ila sio member wa CHAPUTA
 
Napunguza hasara kwa kujikopesha hela kutoka kwenye vicoba.
 
Nilichagua kufanya biashara hii kwakuwa mm ni mpishi mzuri pia hivyo kuna muda huwa napata tenda ya kupika kwenye masemina,birthday parties so huwa siendi kununua kwingine zaidi ya dukani kwangu kwahiyo najiungisha mwenyewe pesa haiendi mbali kwahiyo nililiona ni jambo jepesi kwangu kibiashara,.kutoa nyeziiii[emoji56] [emoji56] woww hahahah najua nafanya nn ila sio member wa CHAPUTA
Party time sex ooohooo!
Unapanga lini kufunga ndoa!
Je unatamani kuolewa Na nani humu jf?
Like who would you date!

DJ sepetu
 
Kuanzia mwakani nahisi nitakuwa tayari kwa mahusiano na ndoa kabisa...Jf navutiwa na wengi eti[emoji85] hahaha
Wengi ngoja nirahisishe chagua mmoja hapa[emoji23] [emoji23] at least
Saint ivuga
Gudume
Smart 911
B40
Nyani ngabu

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom