Interview na bibie mumu

Interview na bibie mumu

Of course kudeka kupo,ila nashukuru familia ilinilea vzr kwa misingi yote inayofaa kumkuza mtoto kijamii,kiimani na hata kitamaduni pia. Kwahiyo sijaathirika labda changamoto tuu ambazo ni part and parcel of life.
Nadhan utakuwa bado unadeka uwii!
Jambo gani la utotoni ukikumbuka unasema waoo!
Ulikuwa unapigwa Na wazazi

DJ sepetu
 
Takribani miaka 4,.kwakweli nilikuwa namiss jinsi tulivyozoeana tulikuwa ni zaidi ya wapenzi,alikuwa mnyenyekevu pia na mchangamfu.
Mumu tulia kwanza baby nimekuambia utawajibu badae du!
Usione kichaka[emoji23] [emoji23]

DJ sepetu
 
Mumu wanasema age ni number tu kwenye mahusiano na ndoa pia je kama wewe uko tayari kua na mwanamme under ur age means miaka 22 may be to 24?kama ndio kwanini na kama sio kwanini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh,.kwakweli HAPANA kwa mm kuwa na mwanaume niliyemzidi umri siwezi labda tuu anidanganye yy kuwa ana umri mkubwa while ni Mdogo,.kwasababu naamini(binafsi)kuwa ni mdogo tuu kwangu na mwisho wa siku nitajikuta namgombeza kama Mdogo Wangu ile hali ya heshma naona itapungua kwasababu ni Mdogo tuu hata iweje.
 
Maswali yenu yatajibiwa baadae wapendwa!

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom