interview sekeretarit ya ajira na tra

interview sekeretarit ya ajira na tra

Benice

Member
Joined
Sep 24, 2011
Posts
53
Reaction score
5
Wana jf hv sekretarit ya ajira walishaita interview,walitangaza july na ndan yake Tanzania Parliamentary Commission ilikuwa moja wapo iliyotoa vacancy,,na tra je vp wameita?.nijulishen plz
 
nakushangaa wewe unaulizia intrview wenzako wanaingia tra bila interview.au unaweza kuitwa na una vigezo vyote na bado usiitwe.tra ni zaidi ya unavyo ijua.mia
 
Back
Top Bottom