Interview -- sekretariate ya ajira

Interview -- sekretariate ya ajira

NGOSWE.120

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
219
Reaction score
233
Wakuu wana Jf kwa yeyote yule anayejua kitu kinachoendelea huko sekretariate ya ajira kwa nafasi za kazi zilizotangazwa na kuwa na deadline ya tarehe 3 December 2011 naomba tufahamishane wakuu.



NB: Sina imani na hii tume ya ajira hata kidogo coz ya uchakachuaji wao wa kupita kiasi, so kama kuna mtu atakuwa na feedback ya kuitwa katika interview au kuwa shortlisted basi atufahamishe hapa jamvini ili niweze ku-justify statement yangu.
 
Nafasi za mwezi wa saba hawajaita mpaka leo, unauliza za december🙂Pole sana🙂
 
Acheni majungu..Tume ya ajira hakuna uchakachuaji,ni moja kati ya vyombo ambavyo ruba wa rushwa hajapata nafasi,na washkaji wangu weng,toka vijijin wasiokuwa na Godfather..lakn wamepata kazi ktk vitengo muhmu sana..
 
Una uhakika gani kwamba wakitoka kijijini hawana godfather?
 
badala ya kulifata embe mtini unakaa kulisubiria chini ya mti lidondoke
 
Mkuu mbona KAZI tulishaanza siku nyingiiii pole sana kwa hilo
 
Back
Top Bottom