M Ms mashaba Member Joined Dec 28, 2011 Posts 43 Reaction score 4 Jun 22, 2012 #1 kuna yeyeto aliepata habari kuhusu interview ya TRA tarehe 25 jumatatu? msaada tafadhali
Obama wa Bongo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 5,431 Reaction score 4,925 Jun 22, 2012 #2 ms mashaba ,hizo ni inteview kwa post gani maana tra sisi wengine tuapply mara nyingi hata hatukumbuki post gani jamaa naomba mtujuzee. nawasilisha
ms mashaba ,hizo ni inteview kwa post gani maana tra sisi wengine tuapply mara nyingi hata hatukumbuki post gani jamaa naomba mtujuzee. nawasilisha