interview tra

interview tra

Ms mashaba

Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
43
Reaction score
4
kuna yeyeto aliepata habari kuhusu interview ya TRA tarehe 25 jumatatu?
msaada tafadhali
 
ms mashaba ,hizo ni inteview kwa post gani maana tra sisi wengine tuapply mara nyingi hata hatukumbuki post gani

jamaa naomba mtujuzee. nawasilisha
 
Back
Top Bottom