wa ndugu mimi kwanza sijaomba lakini hawa jamaa hawapo serious haiwezekani interview jumatatu unampigia mtu leo,huu utaratibu sijaupenda hata kama watu wanashida na ajira hii sio sahihi ,watu wanatofautiana mwingine hiyo nauli kupata mpaka akaombe ,wangefanya kama jamaa wa nao coz nafasi zilikuwa nyingi wangetoa kwenye magazeti,mitandao ya simu now days haiaminki unaweza ukapigiwa simu ikawa haipatikani kutoka na sababu yeyote ile, viongozi wa nchi hawataki kabisa kufuata utaratibu chuo kama udom wangefanya hivi ifikie wakati tuache kufanya mambo kwa mazoe kuna watu wanakaa vijijini hata umeme au minara ya simu haipo