Interview utumishi

Interview utumishi

Kwa mlioomba nafasi husika,jitazameni hapo kama mpo.
Hongera sana kwa waliochaguliwa na tunashukuru sana kwa uzi hii ila poleni sana Wale ndugu zetu tunaoabudu siku ya Jumamosi na Jumapili (kwa mfano Wasabato ) Jumamosi ya tarehe 14 na 15 Mei itakuwa ni siku za Ibada ya kumwabudu Mungu. Tunaomba Sekretarieti ya Ajira chombo cha Umma chenye heshima sana, tuendeleze tabia ya kujali mila na utamaduni wa nchi yetu wa kwa kuhsehimu siku za ibada kwenye ratiba zenu. Usaili kupangwa siku za Weekend ni mbaya sana, inanyima haki wale ambao wanatumia siku hizo kama siku za Ibada.

Tuwaache watu waendele na Ibada na Usaili ufanyike siku za kazi.
 
Mkuu hapo nimeziona za Kilimo na mifugo ndo zile 1514 zilizoitangazwa na Wizara ya Ajira.. kumbe walishatangaza tayari..!!!
 
Hongera sana kwa waliochaguliwa na tunashukuru sana kwa uzi hii ila poleni sana Wale ndugu zetu tunaoabudu siku ya Jumamosi na Jumapili (kwa mfano Wasabato ) Jumamosi ya tarehe 14 na 15 Mei itakuwa ni siku za Ibada ya kumwabudu Mungu. Tunaomba Sekretarieti ya Ajira chombo cha Umma chenye heshima sana, tuendeleze tabia ya kujali mila na utamaduni wa nchi yetu wa kwa kuhsehimu siku za ibada kwenye ratiba zenu. Usaili kupangwa siku za Weekend ni mbaya sana, inanyima haki wale ambao wanatumia siku hizo kama siku za Ibada.

Tuwaache watu waendele na Ibada na Usaili ufanyike siku za kazi.
Nafikiri la msingi ni usaili ungeendeshwa katika majiji makubwa yote, Arusha, Dom, Mza, Znz, Dar, Mbeya na Moro.
 
Jana nilikua kwenye intavyu fulani hivi.

Posts zipo 15 wasailiwa tulioitwa ni 32.

Yaani hata imani ya kutoboa unakua nayo.

Nacheki jina katika hii utumishi naona tupo zaidi ya 300 na post ni 1.

Halafu nilipo ili nifike mji wa kufanya usaili naona kabisa hapa labda nikatengeneze marafiki wapya kama primary goal.
 
Kwakweli mfumo wa Usaili unahitaji kufanyiw Reform kubwa sana, kuanzia ratiba hata maeneo ya usaili.Nadhani wahusika watakuwa wanasikia kilio cha Wananchi
Yaani ukitoka kwenye usaili unatafuta mganga huko Kondoa ukapigwe chale
 
Jana nilikua kwenye intavyu fulani hivi.

Posts zipo 15 wasailiwa tulioitwa ni 32.

Yaani hata imani ya kutoboa unakua nayo.

Nacheki jina katika hii utumishi naona tupo zaidi ya 300 na post ni 1.

Halafu nilipo ili nifike mji wa kufanya usaili naona kabisa hapa labda nikatengeneze marafiki wapya kama primary goal.
Nadhani ifike mahali hata utumishi nao waanze kuchuja watu ,written Waite watu watano kwa nafasi moja na oral Waite watu wawili kwa nafasi moja, hii ya kusema unaita watu 300 kwa nafasi moja sio poa kabisa..pia kila la kheri huko ulikofanya interview Mungu akusaidie upate mkuu
 
Amen
 
Hongera sana kwa waliochaguliwa na tunashukuru sana kwa uzi hii ila poleni sana Wale ndugu zetu tunaoabudu siku ya Jumamosi na Jumapili (kwa mfano Wasabato ) Jumamosi ya tarehe 14 na 15 Mei itakuwa ni siku za Ibada ya kumwabudu Mungu. Tunaomba Sekretarieti ya Ajira chombo cha Umma chenye heshima sana, tuendeleze tabia ya kujali mila na utamaduni wa nchi yetu wa kwa kuhsehimu siku za ibada kwenye ratiba zenu. Usaili kupangwa siku za Weekend ni mbaya sana, inanyima haki wale ambao wanatumia siku hizo kama siku za Ibada.

Tuwaache watu waendele na Ibada na Usaili ufanyike siku za kazi.
Utachagua kati ya ajira na ibada chenye uzito utakifanya kwa wakati huo
 
Hongera sana kwa waliochaguliwa na tunashukuru sana kwa uzi hii ila poleni sana Wale ndugu zetu tunaoabudu siku ya Jumamosi na Jumapili (kwa mfano Wasabato ) Jumamosi ya tarehe 14 na 15 Mei itakuwa ni siku za Ibada ya kumwabudu Mungu. Tunaomba Sekretarieti ya Ajira chombo cha Umma chenye heshima sana, tuendeleze tabia ya kujali mila na utamaduni wa nchi yetu wa kwa kuhsehimu siku za ibada kwenye ratiba zenu. Usaili kupangwa siku za Weekend ni mbaya sana, inanyima haki wale ambao wanatumia siku hizo kama siku za Ibada.

Tuwaache watu waendele na Ibada na Usaili ufanyike siku za kazi.
Kuna watu walimchallenge Yesu kwanini kamponya mtu siku ya Sabato, huenda Mungu anafanya muujiza wako siku hiyo punguza complain....vipi na Ijumaa watu wasemeje sasa?
 
Back
Top Bottom