Interview with DJ Sepetu

Ok..ni Changamoto gani unazokumbana Nazo katka kazi zako
Hii interview ungeiweka jioni ingekuwa poa sana unajua people wako kwa church wengine hangovers za wikiendi ila twendreee
Changamoto kibao mkuu muda ukiongoza nakosa muda Wa kutosha kupiga hela kitabu kinabana
 
DJ Seji post: 24297657 said:
Hii interview ungeiweka jioni ingekuwa poa sana unajua people wako kwa church wengine hangovers za wikiendi ila twendreee
Changamoto kibao mkuu muda ukiongoza nakosa muda Wa kutosha kupiga hela kitabu kinabana
Basi ikafika jioni niataendelea mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…