Interview ya ajabu

Interview ya ajabu

ungewapiga fiksi tuu!kwani wangejuaje kama unawaingiza kichaka?unawaingiza chaka mbaya!ningekua mm wangekoma!nawapitisha chaka tuu!
 
Hongera sana kwa uamuzi wako wa busara sana, na hili ni funzo zuri sana kwetu sisi watafuta kazi ....kwanini watu watumie shida zetu kupata mbinu za kukuza biashara zao...Hii haivumiliki.
 
ungewapiga fiksi tuu!kwani wangejuaje kama unawaingiza kichaka?unawaingiza chaka mbaya!ningekua mm wangekoma!nawapitisha chaka tuu!

WASINGEJUA, bali i'd to tell them tht am not tht cheap! Wasingejua lakini wangejua ninachowambia (hizo fix) ndicho ninachojua abt the company!
 
Congratulations for refusing to compromise your integrity.

We need to introduce an ethics module in the subject we study at our colleges and universities. This is nothing short of industrial espionage where one company seeks to obtain trade secrets/details of its competitors using illegal means.

If these guys were serious about knowing what you do in your current employment, they should have asked you about your job roles and responsibilities. from that and your academic qualifications, they can easily judge whether you are suitable for the job or not.

On the other hand it might have been a test to see whether you are trustworthy and would not give out company details/secrets once employed.
 
umeona enhee?! tena walinikera sana walipofikia hatua ya kutoa tea na lunch!!! yaani ni kama giving out information in exchange na misosi yao! Tena itabidi nimuulie vizuri yule mwana, manake kama sikosei nakumbuka aliniambia walipotoka pale kila mmoja alilamba 15,000/=!!! nakumbuka aliniambia ki2 kama hicho lakini i didn't concetrate! So, kama ndivyo, ni interview gani hiyo ya kutoa hadi sitting allowance?! TZ; sitting allowance wakati wa interview?!!

mixer na sitting allowance,.kweli kabisa mkuu, hiyo haikuwa interview bali ni seminer. Ha ha!
 
Dah pole sana, njia nzuri ya kukwepa hayo maswali ni kusema mkataba wangu wa kazi hauruhusu kutoa data hizo hapo unawatupia mpira.
 
Mkuu, usiniambie hata katika maisha ya kawaida huwezi juwa mtu anayekuchimba! Wale jamaa hawakuwa na cha kazi wala nini, walikuwa na lengo la kuangalia strengths na weakness za competitors wao! by the way ukisema AM NO BODY, utakuwa unakosea sana ingawaje hilo ndio tatizo letu wabongo!!! my spirit ni kwamba, whenever i work, i take the company as mine no matter wht! Lakini unasema am no body to judge someone, wakati mwenyewe unanijaji kwamba am no body!!! wht nikikuambia the company i was working is our family company but i'd to look for other opportunities(puting into consideration mambo kama ya opportunity costs)?!

I like that spirit!
 
Back
Top Bottom