Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Wakuu hivi sasa kwenye channel ya NBS (286 kwa DSTV)
kuna mjadala mzito wa bobi wine na balozi wa uganda huko marekani
Kupitia STRAIGHT TALK VOICE OF AMERICA
Zifuatazo ni baadhi ya hoja zinazozungumziwa
- Anadai hata waliomteka hawakujua wampeleke wapi ,walikua wakisubiri maagizo
- bobi Anadai yeye ni msemaji wa waganda huku balozi wa uganda nchini marekani akidai bobi wine ni msemaji wa jimbo lake tu,msemaji wa waganda ni museveni aliyepata asilimia 60 ya kula
- balozi anadai uganda ni salama ndio maana boby kapewa ruhusa ya kwenda USA
- bobi wine anashangaa viongozi wazee wanaonukuu mambo ya miaka ya 60 huku hii ni miaka ya 2000
- Bobi wine anadai jeshi limekua la museveni
- Bobi wine anasema museveni hana haki ya kuchagua mrithi kwa sababu ile nchi sio ya kifalme (museven aliongeza muda wa madarakani ili achague mrithi)
- bobi wine kam quote mtu mtu mmoja aliyesema "kama unalipwa uwe mpuuzi basi kujielewa kwako kunakua kwa tabu " kauli ambayo ime mkwaza balozi wa uganda nchini marekani na kuhisi kaitwa mpumbavu ila kasamehe
- Mtangazaji amemuuliza balozi kwa nini museveni alihonga wabunge dola kama elfu tatu ili katiba imruhusu kusalia marekani, balozi anasema ile sio rushwa bali ni facilitator
- bobi wine ameulizwa anasimamia nini ? Anasema anawasimamia vijana na waganda wote ila hasa vijana ambao wamepata tabu sababu ya maamuzi ya kijinga ya wazee
- Bobi analalamika vijana wanapokaa kuweka mikutano ya kujadili maslahi yao polisi huwavamia
-bobi anasema asilimia 80 ya waganda hawajawahi kuona rahisi mwingine
- Bobi wine anasema hashangai wasomi kum support museveni kwani hata mobutu, bokassa ,idd amin walikua na wasomi wenye akili waliogeuka kuwasifia kila kitu