Interview ya designers waliomkimbia sheri ngowi, cost gsm millions in advertising and sells money

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Those designers of Young Africans' jersey who worked with Sheri Ngowi and left the company created their own company, leaving Ngowi lost and GSM losing millions of money in advertising. Additionally, they failed to create a new jersey that could have sold a lot in South Africa and Europe. As of today, GSM is still going to lose money.

Kaizer vs Yanga full house and still no new jerseys. he will lose more money




View: https://m.youtube.com/watch?v=-yEvPufL29M
 
Simba katoa deal kwa Sandaland na Sanda naye katoa deal kwa designers wengine (company nyingine)...

Sioni kama Sheria atashindwa kuwatumia hawa jamaa kufanya ubunifu wa jezi mpya za Yanga na wengineo...
 
Kuna interview moja niliwahi kuiona mwanzoni au katikati mwa msimu ulioisha, Sheria alisema amesha design jezi za Yanga za misimu kadhaa mbele, ni kuzikabidhi na kuprint tu. Labda kama alisema hivyo kujikosha baada ya hawa jamaa kuondoka.

Ila Sandaland angeweka ile logo yake ya "S" akaachana na SANDA, angeua sana.
 
Ili jibu linakera sana🀣🀣
Naona jamaa kakereka sana aisee
𝑫𝒂𝒉 π’π’Šπ’π’Šπ’Žπ’‹π’Šπ’ƒπ’– π’ƒπ’π’”π’Š π’˜π’‚π’π’ˆπ’– π’‰π’Šπ’—π’Š π’˜π’‚π’Œπ’‚π’•π’Š π’‚π’π’‚π’ˆπ’π’Žπ’ƒπ’‚ π’‰π’π’—π’šπ’ π’‚π’π’Šπ’•π’‚π’Žπ’‚π’π’Š π’‚π’π’Šπ’‡π’–π’Œπ’–π’›π’† π’‰π’‚π’…π’Š π’Œπ’‚π’›π’Š 𝒏𝒂 𝒃𝒂𝒅𝒐 π’π’Šπ’Œπ’‚π’Žπ’‹π’Šπ’ƒπ’– π’”π’‚π’˜π’‚ π’‚π’Œπ’‚π’π’Šπ’‘π’‚ π’π’Šπ’Œπ’Šπ’›π’ π’šπ’‚ π’˜π’Šπ’Œπ’Š
 
Amepoteza mamilioni yapi hayo unayoyaongelea? Huyo Sheria Ngowi si alijitafuta akaianza hiyo kazi na kulingana na mahitaji yake ndipo akawaona hao vijana? Au unataka kutwambia kuwa hiyo kampuni ya Sheria inakufa sababu ya hao kuondoka?
Kuna issue ya capital, talent, passion, networking, marketing strategy, management vyote hivyo umevizingatia?
 
tulia uone vitu j3,tarehe mkono km ada
 
Simba katoa deal kwa Sandaland na Sanda naye katoa deal kwa designers wengine (company nyingine)...
Sioni kama Sheria atashindwa kuwatumia hawa jamaa kufanya ubunifu wa jezi mpya za Yanga na wengineo...
Sasa baada ya hili kujulikana, Sheria Ngowi hatapata tena ile heshima aliyokuwa anapewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…