Interview ya designers waliomkimbia sheri ngowi, cost gsm millions in advertising and sells money

Interview ya designers waliomkimbia sheri ngowi, cost gsm millions in advertising and sells money

Sasa baada ya hili kujulikana, Sheria Ngowi hatapata tena ile heshima aliyokuwa anapewa

Kwa nini asiipate mkuu?

Hata hao kina Adidas, Nike, Umbro n.k huwa wana watu nyuma yake wanaobuni viwalo na vitu vingine, ni watu walioenda shule za ubunifu...

Ngowi ni mbunifu wa mavazi, lakini jezi anazozitengeneza zina logo ya GSM (brand)...
 
sheria ngowi kuwa mbunifu haimaanishi ya kwamba idea zote zinatoka kichwani mwake, na yeye ana think tanks wake. Usifikiri products zote za microsoft ni idea za Bill Gates. Hata ivyo iyo kampuni ikiyobuni jezi za simba ni kampuni binafsi kwaiyo hata Sheria Ngowi anaweza kuwapa tenda labda kama waliachana kwa ubaya.
it's was creative difference,
 
Those designers of Young Africans' jersey who worked with Sheri Ngowi and left the company created their own company, leaving Ngowi lost and GSM losing millions of money in advertising. Additionally, they failed to create a new jersey that could have sold a lot in South Africa and Europe. As of today, GSM is still going to lose money.

Kaizer vs Yanga full house and still no new jerseys. he will lose more money




View: https://m.youtube.com/watch?v=-yEvPufL29M

Wewe kiazi,huyu jamaa humjui wanaomjua wanampa kazi.
Screenshot_20240727_143726_Instagram~2.jpg
 
Back
Top Bottom