Interview ya designers waliomkimbia sheri ngowi, cost gsm millions in advertising and sells money

Sasa baada ya hili kujulikana, Sheria Ngowi hatapata tena ile heshima aliyokuwa anapewa

Kwa nini asiipate mkuu?

Hata hao kina Adidas, Nike, Umbro n.k huwa wana watu nyuma yake wanaobuni viwalo na vitu vingine, ni watu walioenda shule za ubunifu...

Ngowi ni mbunifu wa mavazi, lakini jezi anazozitengeneza zina logo ya GSM (brand)...
 
it's was creative difference,
 
Wewe kiazi,huyu jamaa humjui wanaomjua wanampa kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…