Interview ya Diamond Clouds: Namshauri ajihadhari na udhalilishaji wanawake

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Msanii wetu mpendwa kesho atakuwa live Redioni na kwenye TV.



Kama tunavyowajua Clouds wao ni watu wa maslahi tu. Kuna mdau alisema lengo lao ni kumshusha Diamond, japo mimi sikuona hilo.

Sasa wamemuita ili akamtukane mwanamke aliemzalisha. Kwa udhalilishaji huo atakaoufanya Diamond sidhani kama atabaki salama. Makampuni mengi yanapenda kufanya kazi na mtu aliye msafi.

Mlio karibu na Diamond mshaurini kabisa asiseme hakuambiwa.
 
Sijaelewa Interview ya diamond inawahusu vipi clouds
 
Iwe hzo pcha zmevuja bahat mbaya au zmevujishwa.. He was supposed to be responsible since the beginning sababu alimtukana yule dada na hasira ya mwanamke uwa haimuach mtu salama... Hakupaswa kumtukana kua ni bitch while walkua wanapika na kupakua sasa yamemkuta baba ndele... He has to pay the price for being a cheating lover! Huhuhuhu apambane na hali yake sie tunapambana na zetu!
 
Wanajidhalilisha wenyewe kuna alikotaja Jina LA mtu.
 
Kesho ni saa ngapi na mie niangalie???!!
 
Kwani Kinaendelea Nini. Joseverest Na Wengine Mnisaidie Tafadhali.
Maana Hizi Mb300 Nikiingia Insta Dakika Tu Tigo Wananiambia Nimebakiwa Na Mb2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…