Interview ya Diamond Clouds: Namshauri ajihadhari na udhalilishaji wanawake

Interview ya Diamond Clouds: Namshauri ajihadhari na udhalilishaji wanawake


na kweli dai ameumiza wengi. yaani sjui kwann anafanya ivi dai heshim fans na kazi na jaman
 
Hebu muacheni jamani looh!hakuna kitu kama hicho bwanaa
 
Hizo ni ndoto tu,aliejuu kumshusha ni ngumu chibu yuko vizuri kwenye uwekezaji wa nyumba
 
kuna wanaume wanaponda mobeto kupigwa na mond sijajua tatzo ni nini au mnataka mchapiwe wake zenu au nyie kiumeni kawaida kuchepuka na kuzalisha ni matokeo
 
Back
Top Bottom