Josiah josephat
Member
- Sep 18, 2017
- 17
- 8
Hawapi sio hvyo aseeeee,, ni juhudi tyu zake tyu sema now labda alikiba kampa stress!!!!Skendo za ngono ndio zilimpandisha, Nadhani ndio zitakazomshusha pia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawapi sio hvyo aseeeee,, ni juhudi tyu zake tyu sema now labda alikiba kampa stress!!!!Skendo za ngono ndio zilimpandisha, Nadhani ndio zitakazomshusha pia!
Nenda shule acha ujinga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushakunywa chai?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We unajuaje kamzalia watoto wawili,..??? Wanawake unawajua wewe?
kunywa maji kidogo mkuu maana sio kwa povu hili..Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,yaani furaha niliyonayo ningekuwa mlevi ningekunywa mpaka nijinyee..Zari alijitoa sana akili,akajifanya mtoto wa 20's,alitamba sana na Diamond utadhani Dai ndo aliyemtoa Bikira,alifanya upumbavu bila kujali ni kwa kiasi gani Ivan alikuwa anaumia...tena bila aibu msibani akasema yeye alimove on utadhani aliulizwa..ndani ya mwezi wa kuanzisha mahusiano yao akashika mimba coz alijua Dai ana kiu ya mwana...tena akaona haitoshi alipoona Dai kaanza kucheat akashika mimba nyingine wakati Latifa akiwa na miezi 4(Hii yote ili tu amweke Daimond...kafiwa na mama yake akawa anafanya ujinga na kibenten chake,kuanzia msibani mpk kwenye so called Baecation...Lol,Mwanamke hana haya huyu...HAMISA..Asante kwa kazi nzuri,Hata wakirudiana..KUNYOOKA atakuwa KANYOOKA punguani WAHED HUYU...Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa
Kwani kuitembeza kila kona ndo maana halis ya hiyo mashineMwanaume hasifi sura mwanaume mashinee uuh bwana mashine ×2
Wakirudiana atakuwa ameamua kujisacrifice haswaa kwakweli sio kwa aibu hiiHahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,yaani furaha niliyonayo ningekuwa mlevi ningekunywa mpaka nijinyee..Zari alijitoa sana akili,akajifanya mtoto wa 20's,alitamba sana na Diamond utadhani Dai ndo aliyemtoa Bikira,alifanya upumbavu bila kujali ni kwa kiasi gani Ivan alikuwa anaumia...tena bila aibu msibani akasema yeye alimove on utadhani aliulizwa..ndani ya mwezi wa kuanzisha mahusiano yao akashika mimba coz alijua Dai ana kiu ya mwana...tena akaona haitoshi alipoona Dai kaanza kucheat akashika mimba nyingine wakati Latifa akiwa na miezi 4(Hii yote ili tu amweke Daimond...kafiwa na mama yake akawa anafanya ujinga na kibenten chake,kuanzia msibani mpk kwenye so called Baecation...Lol,Mwanamke hana haya huyu...HAMISA..Asante kwa kazi nzuri,Hata wakirudiana..KUNYOOKA atakuwa KANYOOKA punguani WAHED HUYU...Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa
Hahahahahaaaaaaa,yaani nilivyo na furaha,leo hata mtu akinitukana mi namnunulia soda...hahahahaaakunywa maji kidogo mkuu maana sio kwa povu hili..
Tukinao hana haya..lazima amrudie ataenda wapi na wakti alishasema Dai is a caring man so she knows better what his exes are missing from himWakirudiana atakuwa ameamua kujisacrifice haswaa kwakweli sio kwa aibu hii
Mwanaume anayetumia "tyu" badala ya "tu", huwa sijadili naye chochote, isipokuwa kama wewe ni jinsia ya kike!Hawapi sio hvyo aseeeee,, ni juhudi tyu zake tyu sema now labda alikiba kampa stress!!!!
Vipi jirani?, watu tuko macho kodo kumsubiria celeb wa taifa akilihutubia taifa!.Msanii wetu mpendwa kesho atakuwa live Redioni na kwenye TV.
View attachment 591407
Kama tunavyowajua Clouds wao ni watu wa maslahi tu. Kuna mdau alisema lengo lao ni kumshusha Diamond, japo mimi sikuona hilo.
Sasa wamemuita ili akamtukane mwanamke aliemzalisha. Kwa udhalilishaji huo atakaoufanya Diamond sidhani kama atabaki salama. Makampuni mengi yanapenda kufanya kazi na mtu aliye msafi.
Mlio karibu na Diamond mshaurini kabisa asiseme hakuambiwa.
ahahaa hadi wewe mkuu?Vipi jirani?, watu tuko macho kodo kumsubiria celeb wa taifa akilihutubia taifa!.
P
Mimi nini?!, hadi nyumba nyeupe wamesimamisha kila kitu, mzee kwenye oval office ni macho kodo kusubiria!, hata DAB na nchi nzima saa hizi imesimama, kipindi kimeanza...ahahaa hadi wewe mkuu?
ahaaa aiseeMimi nini?!, hadi nyumba nyeupe wamesimamisha kila kitu, mzee kwenye oval office ni macho kodo kusubiria!, hata DAB na nchi nzima saa hizi imesimama, kipindi kimeanza...
P.