ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Mwana fa sijamsiliza siku nyingi kama kufanyia na media hizi Mpya mpya...nakumbuka labda ile ya mkasi na salamaFid q
sugu
Mwana fa
Ni kweli mkuu sema kwenye kupata pesa kupitia muziki wao imekuwa ngumu. Wengi wao wanazidisha ujuaji na kuishia kuchuniwa na walioshika mipini. Utakuta mwanahiphop katoa album halafu anaisambaza mwenyewe mkononi. Eti ukiitaka album umpigie simu. Hata shows zao wanahudhuria watu wachache wapenda hiphop tu. Ni muda sasa wanahiphop wa TZ wajue mambo yamebadilika. Mgumu kama Snoop Dog tayari kaimba wimbo laini sana unaitwa Sensual Seduction. Hata 2pac angekuwepo angebadilika.Wasanii wa hiphop vichwani wako vizuri muda wote
Ova
Hip hop asili yake ni ugumu, unatakiwa uishi kwa kufuata misingi sio mtu, kesho Snoop akiwa punga utasema mwana hip hop kuliwa ni sawa?Ni kweli mkuu sema kwenye kupata pesa kupitia muziki wao imekuwa ngumu. Wengi wao wanazidisha ujuaji na kuishia kuchuniwa na walioshika mipini. Utakuta mwanahiphop katoa album halafu anaisambaza mwenyewe mkononi. Eti ukiitaka album umpigie simu. Hata shows zao wanahudhuria watu wachache wapenda hiphop tu. Ni muda sasa wanahiphop wa TZ wajue mambo yamebadilika. Mgumu kama Snoop Dog tayari kaimba wimbo laini sana unaitwa Sensual Seduction. Hata 2pac angekuwepo angebadilika.
Watu mnaowaza upunga huwa ni mapunga. Mwanaume kamili huwezi kukumbuka upunga kila saa kwa sababu haiko kwenye maisha yako.Hip hop asili yake ni ugumu, unatakiwa uishi kwa kufuata misingi sio mtu, kesho Snoop akiwa punga utasema mwana hip hop kuliwa ni sawa?
Acha tabia ya kufata watu utapotea ! Hayo mengine baki nayoWatu mnaowaza upunga huwa ni mapunga. Mwanaume kamili huwezi kukumbuka upunga kila saa kwa sababu haiko kwenye maisha yako.