Kigera Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,448
- 1,311
Nimkuelewa mkuu, at least hata yeye amejua mapungufu yake ....Mods ndio wameweka,inakera sana kuleta vipande vya habari.
Halafu kwanin mondi akitoa ngoma lazima isindikizwe na mipashoNajua bwana Sallam mzee wa kupanic atakuwa ame mponza
Kaitika kitu diamond anatakiwa ajifunze kwa Ali Kiba ni kunyamaza na kuto jibizana na kila mtu na kuto kujibu kila tetesi.
Kwa kweli leo nimeudhika sana na kiki alo pata Ommy.
[emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tatizo lenu mmeumbuka[emoji23]
mlijua ommy ataponda ili mumtukane so mmlikua mmeshannua condom unampiia simu demu hapatikani
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Halafu kwanin mondi akitoa ngoma lazima isindikizwe na mipasho
ina maana jamaa game lake linategemea skendo kutoboa yaani hawezi kabisa kutoa ngoma akakaa kimya
Huyo Salaam mswahili yule ana usafi gani?
Bora mkubwa Fella yeye ni kazikazi,maneno maneno hataki.
si unajua yote yanawezekana peku peku ama na viatu..Halafu kwanin mondi akitoa ngoma lazima isindikizwe na mipasho
ina maana jamaa game lake linategemea skendo kutoboa yaani hawezi kabisa kutoa ngoma akakaa kimya
Watu wako bize na michambo na masifaa yeye ndo kwanza anaenda zake marekani kuchukua tuzo zake mbiliKiba ana busara sana,huwezi kumsikia ktk mambo ya kipuuzi kama haya.