Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Dah Ommy Dimpoz ni real gentleman.
 
Aisee poleni sana, ommy ametumia ustaarabu ambao umewafunga mdomo.
 
Sikiliza interview ya Ommy kijana mstaarabu amemaliza kazi.
 
mi sijaelewa kitu hapo. Ina maana kama Diamond kamuwahi Davido na Iyanya kupiga nae kolabo Ommy haruhusiwi? Au waliingia mkataba kwamba kwa tanzania watafanya kolabo na Diamond tu? msaada kwenye tuta.
 
Una uhakika kama alilala naye?!we ukiambiwa leo umezini na mamako unataka watu tuamini?!
Ushoga hauna kificho,waliomla ndio wamesema
Zari ndiyo amevujisha hii habari aliwadaka ugoni jamaa akaamua kumfunga mdomo kwa Zawadi ya nyumba SA.
Upo hapo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ommy dimpiz kaongea kwa busara sana aisee na ni nakubaliana naye mgawa riziki ni mola mwenyewe na humpa kila MTU kwa nafasi yake
 
Ommy Ana moyo was lipekee, scandal nzito sana ila kapara nguvu za kusimama na kujielelezea ana sofa za uanaume
Na wewe mtake radhi ommy maana Jana uliongea maneno mazito sana tena ya kutunga.
 
Zari ndiyo amevujisha hii habari aliwadaka ugoni jamaa akaamua kumfunga mdomo kwa Zawadi ya nyumba SA.
Upo hapo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
Ommy Ana moyo was lipekee, scandal nzito sana ila kapara nguvu za kusimama na kujielelezea ana sofa za uanaume
Na wewe mtake radhi ommy maana Jana uliongea maneno mazito sana tena ya kutunga.
 
Kaanza kurusha vijembe, watu wamepiga ikulu anaanza kutiatia huruma. Usirushe mawe kama unaishi kwenye nyumba ya vioo. Leo hii kawa mpole, watu wanamuona Gentleman!!! [HASHTAG]#SMDH[/HASHTAG] Hivi mmesahu juzi tu ndio huyu huyu alieanza kurusha vijembe kama dem?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…