[emoji3] [emoji3] [emoji3]mmmmhhhh!Leo ....!!
Mond team zake zinampeleka kubaya maana anajidai hataki kushindwawamepanik hataree
mondi karusha dongo IG...
Bora hata anyamaze tu sasa. Mstaarabu akivuliwa nguo uchutama.Na alichoandika diamond nazidi kumshushia thamani
View attachment 439006
Anataka kuonyesha umahiri wake nasoma comments nacheka ad basBora hata anyamaze tu sasa. Mstaarabu akivuliwa nguo uchutama.
Yani anazidi kujionyesha jinsi gani alivyo hana akili ili nimefurahi wanaoendelea kumponda. Yani ana majungu sana huyu mvulanawamepanik hataree
mondi karusha dongo IG...
Nani hana akili sasa ...Yani anazidi kujionyesha jinsi gani alivyo hana akili ili nimefurahi wanaoendelea kumponda. Yani ana majungu sana huyu mvulana
DNani hana akili sasa ...
Kama vile umesikia jambazi kauawa alafu ukatoka na maneno ya shombo yakikutoka khanga kiunoni, kufika unakuta ni mumeo. Vile litavyokushuka ndio hii ilotokea hapa.Simpendagi ommy but leo kaongea vizuri sana yani sikutarajia angeweza kujibu vizuri vile sasa mtaa wa pili walijiandaa kumshambulia walidhani atajibu kimipasho kama boss wao anavyoongea
Apunguze mipasho mitandaoni itamu cost sana huyo na akumbuke raha ya mbio kumaliziaMe ndipo anaponikera huyo wa kujiita almasi unajua Ngoma ikilia sana inakaribia kupasuka
Eti aropoke mwingineeee, walaumiwe clouds, kwani wao ndio walimmezesha vya kuongea!Hahaha imepeenya hiyo.
Ommy amewafanya mmekua wapole kama kuku mwenye mdondo.
Nadhani leo mmepata somo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenena!Kwa ali ndio naamin rasmi yule shemeji yetu jokate ni bonge la mwanamke...
naamin ukimya wa ali kwenye haya mambo mkono wa jokate upoo
Yani leo wafuasi wake walikuwa wapo tayari kumponda ila kilichotokea naona mb zao watamalizia kuangalia lile liwimbo lao sijui vitu gani.....Kama vile umesikia jambazi kauawa alafu ukatoka na maneno ya shombo yakikutoka khanga kiunoni, kufika unakuta ni mumeo. Vile litavyokushuka ndio hii ilotokea hapa.
yaani kweli ukitaka kumjua mtu anachowaza mpandishe mori!!Yani anazidi kujionyesha jinsi gani alivyo hana akili ili nimefurahi wanaoendelea kumponda. Yani ana majungu sana huyu mvulana
From Tandale to Madale then[emoji574] [emoji574] [emoji574] to SA sio mchezo..Yani anazidi kujionyesha jinsi gani alivyo hana akili ili nimefurahi wanaoendelea kumponda. Yani ana majungu sana huyu mvulana
Yaani daaaah!! Za mwizi 40 walikuwa wanamtetea leo wameyaona wenyewe.Anataka kuonyesha umahiri wake nasoma comments nacheka ad bas
Point yako hapa ni nini? Hebu tulia halafu urudi tena labda nitakuelewaFrom Tandale to Madale then[emoji574] [emoji574] [emoji574] to SA sio mchezo..
Ulishapitaga maeneo ya Tandale? mi mwenzio nazururuga mitaa hiyo ni noma asee!
Yaani kule sio uswahilini bali ni ushenzini tena wa mwendokasi!
Ndio anajifunza hivyo, au unadhni lugha mtu anajifunzaje?Umenena!
Jokate amfundishe kutema yai tu....maana Kiba akitokaga nje ya Tz ni majanga tu!
Sio kwa broken lile?!?[emoji85] [emoji85]
Wrong quote!Point yako hapa ni nini? Hebu tulia halafu urudi tena labda nitakuelewa
Mbona liwimbo!!!Yani leo wafuasi wake walikuwa wapo tayari kumponda ila kilichotokea naona mb zao watamalizia kuangalia lile liwimbo lao sijui vitu gani.....