Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Yani uswahili na roho mbaya ya mtu haiwezi kujifichayaani kweli ukitaka kumjua mtu anachowaza mpandishe mori!!
mondi Leo halali haki tena!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani uswahili na roho mbaya ya mtu haiwezi kujifichayaani kweli ukitaka kumjua mtu anachowaza mpandishe mori!!
mondi Leo halali haki tena!
Kiranga chote komooo!!!yaani kweli ukitaka kumjua mtu anachowaza mpandishe mori!!
mondi Leo halali haki tena!
Na yeye achangamshe ulimi huo bwana! Siku zote hizo!Ndio anajifunza hivyo, au unadhni lugha mtu anajifunzaje?
From Tandale to Madale then[emoji574] [emoji574] [emoji574] to SA sio mchezo..
Ulishapitaga maeneo ya Tandale? mi mwenzio nazururuga mitaa hiyo ni noma asee!
Yaani kule sio uswahilini bali ni ushenzini tena wa mwendokasi!
Hahahahah yani naona ngoja nikajiandae nitoke zangu na baeMbona liwimbo!!!
#KAJIANDAE#
roho mbaya tu!!Leo kajua kujiabishaKiranga chote komooo!!!
Ila sijui aliwaza nini kuropoka vile, hakuwa na busara kabisa, daaah!!!
Haaa haaa haaa....kumbe mnajijua!kule kwanza mtaa mzima watoto 100 walioenda shule wawili ndo wanagradute diplomas or bachelors..
tandale,manzese,buguruni,vingunguti,mwananyamala huko mtuache tu wenyewe...
tuna midomo michafu hatareeee...
!!!
Kiswahili tunaongea tangu utotoni lakini bado kinatupiga chenga, seuse lugha hiyo ya monsoon winds!!Na yeye achangamshe ulimi huo bwana! Siku zote hizo!
Wewe unajua kuongea kingereza vizuri sana eeh!Na yeye achangamshe ulimi huo bwana! Siku zote hizo!
Sipati picha Ommy lingemtoka povu leo, huu uzi ungekuwa page ya 200 now.Yani uswahili na roho mbaya ya mtu haiwezi kujificha
You know am legendWewe unajua kuongea kingereza vizuri sana eeh!
Leo nimemsikiliza huyu jamaa. Huwa simpendi ila leo nimemwelewa na sidhani kama ni wa kutupiwa lawama juu ya hili bifu lake na Diamond.
Leo nimemsikiliza huyu jamaa. Huwa simpendi ila leo nimemwelewa na sidhani kama ni wa kutupiwa lawama juu ya hili bifu lake na Diamond.
Niwathindikidhe???[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahahahah yani naona ngoja nikajiandae nitoke zangu na bae
#KAJIANDAE#[emoji7]
Kabisaaaaa m ngumu kuibadiliYaani daaaah!! Za mwizi 40 walikuwa wanamtetea leo wameyaona wenyewe.
Tabia ni kama rangi ya ngozi.
Hivi huyu kweli anafikiri amefanikiwa sanaaa kiasi cha kujiandika kabisa.....Duh si aache watu wamsifie?Kweli ukisikia mdundiko ndio huo....uswahilinge at its best.Ulimbukeni unamsumbua anahitaji wataalamu wakisaikolojia huyu tangia akose tuzo hayuko vzuri full kuandika vitu vya ajabu ajabu
Bahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Apunguze mipasho mitandaoni itamu cost sana huyo na akumbuke raha ya mbio kumalizia
Ama kweli bata hazai nyau.Haaa haaa haaa....kumbe mnajijua!
Tumsamehe tuu domo!
Juzi umesikia audio maza ake anajitapa bangaloo la madale lake...kulikuwa na haja gani ya kujieleza on social media?
Tandale nyokoo!
Aiseee busara ni kitu kizuri sana unajua walijua angeongea shit ila dimpoz wa watu yani nimempenda bure si kwa busara zileSipati picha Ommy lingemtoka povu leo, huu uzi ungekuwa page ya 200 now.
Ommy konyo kweli,very smart.
sana tuuu....kwetu msingi maneno...japo pesa hatuna...!!Haaa haaa haaa....kumbe mnajijua!
Tumsamehe tuu domo!
Juzi umesikia audio maza ake anajitapa bangaloo la madale lake...kulikuwa na haja gani ya kujieleza on social media?
Tandale nyokoo!