Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

kule kwanza mtaa mzima watoto 100 walioenda shule wawili ndo wanagradute diplomas or bachelors..

tandale,manzese,buguruni,vingunguti,mwananyamala huko mtuache tu wenyewe...

tuna midomo michafu hatareeee...

!!!
From Tandale to Madale then[emoji574] [emoji574] [emoji574] to SA sio mchezo..

Ulishapitaga maeneo ya Tandale? mi mwenzio nazururuga mitaa hiyo ni noma asee!

Yaani kule sio uswahilini bali ni ushenzini tena wa mwendokasi!
 
kule kwanza mtaa mzima watoto 100 walioenda shule wawili ndo wanagradute diplomas or bachelors..

tandale,manzese,buguruni,vingunguti,mwananyamala huko mtuache tu wenyewe...

tuna midomo michafu hatareeee...

!!!
Haaa haaa haaa....kumbe mnajijua!

Tumsamehe tuu domo!

Juzi umesikia audio maza ake anajitapa bangaloo la madale lake...kulikuwa na haja gani ya kujieleza on social media?

Tandale nyokoo!
 
Leo naona ommy kawatuliza wote, diamond lazma ajue kuwa mafanikio sio kigezo cha mtu kywa mtakatifu, mungu wetu habagui hta kidogo, kwake ss sote tuko sawa licha ya kuwa waovu au wasafi. na hutoa rizk kwa yeyote yule, ingekuwa hivyo wale walokole/waislam safi wote wangekuwa matajiri.
 
Leo nimemsikiliza huyu jamaa. Huwa simpendi ila leo nimemwelewa na sidhani kama ni wa kutupiwa lawama juu ya hili bifu lake na Diamond.

Leo nimemsikiliza huyu jamaa. Huwa simpendi ila leo nimemwelewa na sidhani kama ni wa kutupiwa lawama juu ya hili bifu lake na Diamond.

"kugombana na meneja wako eti kisa nae ana demu ukaskia wivu nayo ni [HASHTAG]#KOKORO[/HASHTAG]" daah Chibu kweli muhuni teh teh teh bwana Nyembo kapayikana. anyway wamanyema hawa wanajana.
 
Haaa haaa haaa....kumbe mnajijua!

Tumsamehe tuu domo!

Juzi umesikia audio maza ake anajitapa bangaloo la madale lake...kulikuwa na haja gani ya kujieleza on social media?

Tandale nyokoo!
sana tuuu....kwetu msingi maneno...japo pesa hatuna...!!

tumenyimwa pesa sio maneno ya shombo!

masikini akipata...!
kuna mtu kannua fridge story mtaa mzima!!
 
Back
Top Bottom