jaysemkamba
Member
- Oct 25, 2016
- 23
- 23
Jamaa anatia huruma.Sijui kama ni mawazo yangu ila kama vile reaction yake against kuitwa shoga haijakaa sawa.Nafkiri anaogopa alivyoambiwa wanamstiri.Me ukiniita shoga hutasikia nakuongelea vizuri maishani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Never say never!! Kauli ni kitu cha muhimu sana!! Hata Pharao kiburi kilimponza ... kwa povu Diamond alilotoa jana tulfkir atatafakari kauli zake! Instead kaharibu kila kitu mafanikio si ishara your God favoured!! Akasome hadithibya AyubuMayotte Mayotte Mayotte, haters gonna hate,HAKUNA KINACHOWEZA KUMSHUSHA MONDI KWA SASA,SIO MBAYA MKIENDELEA KUJIFURAHISHA HAPA JF.
Na yeye kasema mara ya kwanza alikuwa anajaribu potezea.mi kwa upande wangu sijaona kosa la Diamond. Swala la kufichana baadhi ya vitu kwenye bussiness ni jambo la kawaida. Na ndio maana hata uwe na uswahiba na mzee Mengi usitegemee atakushirikisha mipango yake ya biashara. NEVER. Wakati Diamond anaenda kushuti south hakumtaarifu mshkaji(sio meneja wake) ila wakati wanazindua hiyo video akampa mwaliko mwana. And that's friendship. Nadhani kilichotokea kwa hao jamaa ni mmoja kushindwa kutofautisha URAFIKI nini na KAZI nini.
Yani anavitabia flani hivi vya kudorishia,hivi hana watu wakumfundisha communication skills maana yuko zero kabisa.Dogo kiropo ropo sana, akakae na akina Ommy wamfundishe busara.
Hahaaaaaaa sallam povu lake si la mchezo mchezosawa salaam SK..tumeskiaa
Umesahau ndio zile tabia za kuleee, ukinunua dera jipya lazima mtaa mzima wajue.Yani anavitabia flani hivi vya kudorishia,hivi hana watu wakumfundisha communication skills maana yuko zero kabisa.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] hueleweki unachongea we shabiki wa mond kapalilie zabibu sasa BIHAWANA au MAKUTOPOLASipanic kwa ujinga ujinga hata siku moja,tabia za omari zinajulikana, tangu kitambo dogo anajulikana ana usnitch flani hivi wa kipuuzi na vitabia vya kimama mara Lord eyez kamuibia gari mara nini.utoto mtupu.
Hahaaaaa umenichekesha Mpaka basi mkila kuku lazima jirani ajue kweli kijana huyu anaji let down mwenyewe. Mi sijawahi kumwona wizkid au Davido wanafanya ujinga wake. Very shameUmesahau ndio zile tabia za kuleee, ukinunua dera jipya lazima mtaa mzima wajue.
Ushasema 'mimi' thats you, watu hureact tofauti katika same scenario. Ndio maana D alireact vupuuuu, huyu kareact tofauti, mwisho wa siku yakawa hayo yalokuwa.Jamaa anatia huruma.Sijui kama ni mawazo yangu ila kama vile reaction yake against kuitwa shoga haijakaa sawa.Nafkiri anaogopa alivyoambiwa wanamstiri.Me ukiniita shoga hutasikia nakuongelea vizuri maishani
Diamond sawa na Ruby....precious Stone.. Imekaaje hiiHilo jina "dimpoz" limekaa kike kike huyo ni mwanamke au mwanamme?
Muache babu jamani hali si nzuri, we unadhani hili alolifanya D akili ziko sawa!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] hueleweki unachongea we shabiki wa mond kapalilie zabibu sasa BIHAWANA au MAKUTOPOLA
In the long run ommy akiendelea hivi na diamond akaendelea anavyofanya, diamond ndiye atakayepoteza.Jamaa anatia huruma.Sijui kama ni mawazo yangu ila kama vile reaction yake against kuitwa shoga haijakaa sawa.Nafkiri anaogopa alivyoambiwa wanamstiri.Me ukiniita shoga hutasikia nakuongelea vizuri maishani
Hapo ndipo unapoona tofauti ya embe na parachichi japo yote ni matunda.Hahaaaaa umenichekesha Mpaka basi mkila kuku lazima jirani ajue kweli kijana huyu anaji let down mwenyewe. Mi sijawahi kumwona wizkid au Davido wanafanya ujinga wake. Very shame