Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Actually umeona kitu ambacho wengine hatukuona, lakini pia hilo hali justfy Mondi kuanza kutoa povu angekausha.
Kitendo alicho fanya jana hakija nifurahisha. Leo Ommy Dimpoz ata lala kama mshindi na mtu mwenye busara kuliko diamond ka m out perform kwa ku ji contorol
Word... na diamond akiendelea hivi kwenye long run sio vizuri kwake.
Leo ingekuwa mdaharo wa kuwania uraisi ommy angekuwa kaibuka kidedea
 
Mwisho kbs tunatakiwa tu kujua hawa jamaa wote wawl kuna mahali walikoseana na hawawez kuweka wazi. Fikiria km ni kwel Dimpoz labd alipoona Diamond anatofauti na wema lbd akajiweka kwa wema at the same time anataka ushikaji na Mond uendelee, kwa ninavyomhisi diamond ni mtu wa kuvimba, kuzira na kulipiza kwa vitendo. Nani anajua km alitegemea amekosana na wema myb watarudiana alfu kbl hajarudiana naye mchz wake kajiweka apo apo kisa tu mwenzake kajitoa. Kitu km hiyo si Dimpoz wala Diamond angewez kuwek wazi kweny jamii ndo maan akaishia kusema "Ommy alivuka mipaka" lkn hakuwek wazi ni mipaka ipi so Either wema au iyo ya ushoga ingawa Mimi bdo siamin km kwel jamaa angewez kuomb apumuliwe.
 
Kwa mara nyingine tena natafakari namna diamond anavo handle mambo yake sku hizii
How comes anapick fights na mtu kama Ommy dimpoz!! Yaan leo Omy ni wa kusifiwa kuwa ana akili kisa tu kumjibu diamond!!
This was wrong from the beggining, Yeye ni msanii mkubwa ajifunze kukausha sometymes
Mwisho wa siku ana wapa kiki hao vijana tuu.
you have a point here.
 
Kwa hiyo jana Diamond alikuwa visiwani Mayotte.... Eti mkuu mwenye akili!!!! Visiwani Mayotte kuna studio za clouds!!!! Aseee
Sorry kk yaelekea hatukuelewana, uliandika as if unasapoti kuwa hakuwepo nchini ilhali alkuwepo studio na Richie siku husika
 
Ukiwa upande wa kiba utapotea kimziki?
Hapana, kuwa upande wa Kiba hakuna uhusiano na kumpoteza mtu kimziki na wala sijamaanisha hivyo.

ILA kwa huu ujinga wa hapa Tanzania inatokea mtu akiwa close na Kiba basi Diamond na Mashabiki wake wanamperceive kama adui...same applied kwa Ali kiba fans mtu akiwa karibu na Diamond.
 
Huu uswahili wa huyu jamaa diamond utamshusha, mfano tuamue kwamba Ommy Dimpoz ni shoga kweli afu ianze campaign mtandaoni kwamba diamond ni homophobic unadhani atatoboa huko marekani na ulaya?atakuwa adui namba moja wa watu weupe na hasa waliokamata tasnia ya mziki
hayo unayoongea yalisemwa sana na team wema miaka kama mitatu iliyopita
Matokeo yake jamaa anazidi kushine tu
 
Actually umeona kitu ambacho wengine hatukuona, lakini pia hilo hali justfy Mondi kuanza kutoa povu angekausha.
Kitendo alicho fanya jana hakija nifurahisha. Leo Ommy Dimpoz ata lala kama mshindi na mtu mwenye busara kuliko diamond ka m out perform kwa ku ji contorol
Yeah ni kweli Mondi amedissapoint wengi lkn amini nakwambia Ommy pia angewez kutok povu la maana sema yawezekana kuna watu wenye kuona mbali walimpanga awe humble tu na akaelewa. Kwa jinsi Jana alivyotweet fasta fast kuomba interview lazm alipaniki sema ndoivo Tena kuibuka kidedea Mara moja moja siyo mbaya.
 
Sema uyu jamaa wakuitwa Daud Mchambuzi amefurahi sana kuona Diamond anashambuliwa. Lkn vp iv kuna mtu keshawahi jiuliza effect ya kutukanwa sana mitandaoni somtymz inawez pelekea reaction za namn ile na sio tu kila kitu watu tunatukaaana ndo maana wasanii wetu wanaogopa ata kukazana wawe kama Diamond na kiba wanajua tu mtawatafutia mapungufu mtukane
 
Back
Top Bottom