Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

1480014631008.png
kwa majibu haya Ommy atakua yupo sahihi,naona Domo kachomwa kumoyo [HASHTAG]#TeamRohoMbaya[/HASHTAG]
 
Mayotte Mayotte Mayotte, haters gonna hate,HAKUNA KINACHOWEZA KUMSHUSHA MONDI KWA SASA,SIO MBAYA MKIENDELEA KUJIFURAHISHA HAPA JF.
Hahaha mkuu mliandaa mitusi ya kumshambulia Ommy bahati mbaya ameongea kwa busara inabidi hiyo mitusi mliyoandaa mkaimimine kwenye shimo la choo.

Hebu jiulize kwa nini mfalme Suleiman alikua anamlilia Mungu amjalie hekima tu?
 
Sasa pale alipomwambia kuwa ataenda kwa huyo mzee kwanini mond asiseme kuwa na yeye ana the same idea alichofanya akanyatia akakutwa anafanya kilekile alichosema mwenzake jana yake.
Haya ommy kumshirikisha best yake kuwa ameongea na Davido amekubali colabo kwa dollar 3000 badala hata aseme kuwa na yeye ana the same idea yeye mond akaenda kumzunguka mwenzake akapanda dau akampa davido dollar 5000 wakafanya colabo.
Anatofauti gani na mchawi hapo?
Kwan baada hapo alishidwa kumfata davido kaja mara ngapi bongo kashindwa fanya nae collabo
 
Ulisikia ile kashfa ya gazetini kwamba jamaa anamlala mama yake kila jumatano ili asishuke kimziki?kashfa kubwa sana kwa D
Kwani kasema anamlala au analala na mama ake? Hiki kiswahili au me ndo sielewi [emoji42]
 
Jamaa anatia huruma.Sijui kama ni mawazo yangu ila kama vile reaction yake against kuitwa shoga haijakaa sawa.Nafkiri anaogopa alivyoambiwa wanamstiri.Me ukiniita shoga hutasikia nakuongelea vizuri maishani
Hekima sio matak.o useme kila mtu anayo.

Leo Ommy amem-outsmart domo na team yake wanatafuta pakuficha sura zao.
 
Hahaha mkuu mliandaa mitusi ya kumshambulia Ommy bahati mbaya ameongea kwa busara inabidi hiyo mitusi mliyoandaa mkaimimine kwenye shimo la choo.

Hebu jiulize kwa nini mfalme Suleiman alikua anamlilia Mungu amjalie hekima tu?
Busara gani? Ameongea kwa kujibembeleza na kutafuta huruma,NYIE NI HATERS,HATERS,HATERS NA HAMTOFANIKIWA KUMCHUKIA MWANAUME MWENZENU,CHUKI ZA KIMASKINI.
 
Mfano rejea kwny kauli alomwambia Ruge tena kwa kulalamika kuhusu bifu lake na kiba kwamba " hata kama mtu ni adui yako basi jaribu tu kuwa karibu naye kama Mimi nilivyo na Dimpoz apa " kama ulimsikia Ommy amesema alijiuliza kwann anachukuliw kama Adui lkn hakuuliza. Sasa wew mshabk jiulize kwann Diamond aliyazungumza hayo mbele ya Ommy . utagundua kwamb pengn tayari kuna chuki ilianz kuingia kati yao ambapo either Ommy alikuw snitch kweli au kuna mtu wa pembeni alikuw anamjaza maneno Diamond ndo maan akaw anajitoa taratbu kwa Ommy kwa mentality aliyojijengea kuwa Ommy ni snitch kwake
Wajina inamaana huoni tu kuwa Diamond ame-bite idea za ommy alizokua akimshirikisha? Au ndiyo mahaba?
 
Nimekuja kugundua diamond ana roho mbaya aiseeee,big up ommy
Namjua sana huyu bwana mdogo tangu anapoanza muziki ana busara sana ila dogo Diamond tangu afanikiwe amekuwa na roho mbaya sana tangu tukutane pale Posta siku moja akajifanya eti hanijui na hakutaka hata salamu..![emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom