Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Ila clouds wachonganishi sana hawa jamaa,kuna siku nimeona ahojiwa sijiwi mdogo wake na baraka the prince sikuelewa mantiki ya wao kuishupalia sana ile issue mpaka yule dogo anapiga simu kwa mana yao huko kijijini....ule ulikua utoto wa hali ya juu!
 
Kuna kitu hakipo sahihi.mbona upande mwengine huyo huyo kawanyanyua wasanii wengine.dully sykes video yake kafanyiwa bure na diamond.ravy alikiona kipaji chake akamchukua .harmonize na yeye bongo starch alitolewa ila hakuimba vizuri diamond akamuamini akamchukua.isije ikawa kila mtu akaamua tu kujitetea kwa upande wake. muda mrefu hawako pamoja ommy na diamond.iweje yaibuke sasa?
 
Kiba mambo yke ya chini chini mzee wa kupost n kufuta
587b1e229ec64b3d470434bc1d28c39a.jpg
Mbona leo mnaloo!! Hapo kibaya kiko wapi!! Mlivyokazana na madesa yenu ambayo hata hayahusiki ndio mnazidi kutia huruma.

Pole, kampepee boss ohooo!!!
 
Ila clouds wachonganishi sana hawa jamaa,kuna siku nimeona ahojiwa sijiwi mdogo wake na baraka the prince sikuelewa mantiki ya wao kuishupalia sana ile issue mpaka yule dogo anapiga simu kwa mana yao huko kijijini....ule ulikua utoto wa hali ya juu!
Mnawasingizia tu clouds wasanii wenyewe ndo wajinga hawatumii akili zao vyema, acha wachonganishwe maana clouds haikutuma domo aandike pumba zake insta na alivopewa interview wakamchota akili akaanza kujiropokea tu, wasanii wasipobadilika watatumika ka tissues Mpaka wajijutree
 
lakini kwani diamond hakujua kama ommy na kiba washikaji? wimbo wa ommy wa kwanza chorus si kaimba kiba.
Sasa kama ni hivyo kwanini diamond alimaindi ommy alipotoa video ya wnjela bila kumwambia?
Asingemaindi naye angechukulia biashara tu.
Na ni kweli ommy alijitoa sana kwa diamond kuliko kwa kiba japo kiba ndiye alimtoa kwa chorus kali.
utakumbuka wakati kiba alipoachia wimbo wake wa mwana akijinadi kurejea ommy hakumpa pongezi wala kuupigia promo wimbo wa kiba kitu kilichofanya mashabiki wamtukane sana ommy kuwa hana shukurani kwa kiba..
Yaani umenifanya nikumbuke ile chorus, boonge la chorus yaani.
 
Sema uyu jamaa wakuitwa Daud Mchambuzi amefurahi sana kuona Diamond anashambuliwa. Lkn vp iv kuna mtu keshawahi jiuliza effect ya kutukanwa sana mitandaoni somtymz inawez pelekea reaction za namn ile na sio tu kila kitu watu tunatukaaana ndo maana wasanii wetu wanaogopa ata kukazana wawe kama Diamond na kiba wanajua tu mtawatafutia mapungufu mtukane
Mimi nimefurahi sana kwakuwa mdogo wangu Ommy ametoa darasa la bure leo.
 
Hakuna kitu kama hicho,mna chuki za kimaskini RU,DIAMOND IS BLESSED BASI,HAKUNA MANENO YANAWEZA KUMSHUSHA MUDA WAKE UKIFIKA ATASHUKA TU,SIO KWA CHUKI ZENU ZA KIMASKINI.
Tatizo la maskini (waswahili) mkiambiwa ukweli mnadai chuki... kila mtu kabarikiwa kwa namna yake ndo maana kila mtu ana kipaji na talanta yake, Diamond ana upepo wa mashabiki Ommy Dimpoz ana hekima ingawa wote wana kipaji cha uimbaji.. alipandishwa na watu na atashushwa na watu!! Usiseme hakuna wa kumshusha... mifano anuwai iko mingi tu kuanzia kwenye vitabu vya dini na kwenye maisha. Wenye chuki ni nyie ambao hamumwambii ukweli hata akikosea mmnasifia tuu...
Tafakari hekima hizi za wahenga
Maskini akipata ............
Ngoma ikivuma sana..........
Mgema akisifiwa ............
Hakuna Marefu...........
 
Ila clouds wachonganishi sana hawa jamaa,kuna siku nimeona ahojiwa sijiwi mdogo wake na baraka the prince sikuelewa mantiki ya wao kuishupalia sana ile issue mpaka yule dogo anapiga simu kwa mana yao huko kijijini....ule ulikua utoto wa hali ya juu!
D kayataka mwenyewe si aliyaanzia huko alikoyaanzia, ndio maana akahojiwa, nae badala afiche aibu yake akajiropokeaaa!!!
 
Umesahau maneno kuntu ya kwenye Silali mkuu?
Aiseee ule ndio wimbo wangu bora wa Rich Mavoko wa miaka yote.

Muda utatuambia,ataukumbuka ushauri wa Baraka kukiwa kumeshakucha.
Kwan yy barak yupo wapi maana nisamehe hata cjui ilienda wp
 
Kaingiza kiasi gani cha fedha tangu aanze kusema ya viewers?
Interview ya leo tu inaingiza mpunga wa kutosha kwa Ommy coz watu wengi sana wamejua ukweli wamehamia upande wake wanaview kazi zake mtonyo unaongezeka.

Mimi binafsi nimekua loyal fun wa Ommy baada ya kuona hekima zake kwenye mahojiano aliyofanya times FM alihojiwa na jamaa mmoja anaitwa somebody Omary. Baada ya hapo nikaenda you tube nikaview "kajiandae" nikamuingizia pesa hapo.

Unajua ni kwanini mfalme Suleiman alimlilia Mungu ampe hekima tu?
 
Back
Top Bottom