venine
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 1,458
- 1,569
Hujasikiliza clip? Kayaongea mazuri aliyofanyiwa na DKwenye mambo ya shutma lazima usikilize pande zote ndo utausoma mziki katika hali ya kawaida hawezi kuongea mazuri aliofanyiwa na domo japo naamini yapo