WirelessBrain
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 980
- 1,350
Wana lao hawa na hawawezi kulisema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote wako huku JF na fekero zao wanajiandaa tu kuja hapaHivi eeeh inaweza kuwa ni yeye
Sallam ndo kila corner had kuzima mic babu tale hana ki mbele front kivile cha kupanicIla kaswahili kale kamtu, na kenyewe kanapenda vimaneno manenooo!! Sasa mtu wa hivyo ndio kamzunguka D utegemee nini!!
Hahaha mkuu mliandaa mitusi ya kumshambulia Ommy bahati mbaya ameongea kwa busara inabidi hiyo mitusi mliyoandaa mkaimimine kwenye shimo la choo.Mayotte Mayotte Mayotte, haters gonna hate,HAKUNA KINACHOWEZA KUMSHUSHA MONDI KWA SASA,SIO MBAYA MKIENDELEA KUJIFURAHISHA HAPA JF.
Kwan baada hapo alishidwa kumfata davido kaja mara ngapi bongo kashindwa fanya nae collaboSasa pale alipomwambia kuwa ataenda kwa huyo mzee kwanini mond asiseme kuwa na yeye ana the same idea alichofanya akanyatia akakutwa anafanya kilekile alichosema mwenzake jana yake.
Haya ommy kumshirikisha best yake kuwa ameongea na Davido amekubali colabo kwa dollar 3000 badala hata aseme kuwa na yeye ana the same idea yeye mond akaenda kumzunguka mwenzake akapanda dau akampa davido dollar 5000 wakafanya colabo.
Anatofauti gani na mchawi hapo?
Huyo mwenye roho mbaya ndio Mungu anamuinua ili atambue ukuu wake ajirudi, ila nae anazidi kujikweza. Chaaah!! Aache kumsingizia Mungu kwenye upuuzi wake.View attachment 439059 kwa majibu haya Ommy atakua yupo sahihi,naona Domo kachomwa kumoyo [HASHTAG]#TeamRohoMbaya[/HASHTAG]
Kwani kasema anamlala au analala na mama ake? Hiki kiswahili au me ndo sielewi [emoji42]Ulisikia ile kashfa ya gazetini kwamba jamaa anamlala mama yake kila jumatano ili asishuke kimziki?kashfa kubwa sana kwa D
Hahahaha sema we jamaa avatar yako inachekesha afu inatia hasira apo apo yaan ukijumlisha na majibu yako Duh noma sanaKunywa maji upunguze uchungu
Hekima sio matak.o useme kila mtu anayo.Jamaa anatia huruma.Sijui kama ni mawazo yangu ila kama vile reaction yake against kuitwa shoga haijakaa sawa.Nafkiri anaogopa alivyoambiwa wanamstiri.Me ukiniita shoga hutasikia nakuongelea vizuri maishani
Busara gani? Ameongea kwa kujibembeleza na kutafuta huruma,NYIE NI HATERS,HATERS,HATERS NA HAMTOFANIKIWA KUMCHUKIA MWANAUME MWENZENU,CHUKI ZA KIMASKINI.Hahaha mkuu mliandaa mitusi ya kumshambulia Ommy bahati mbaya ameongea kwa busara inabidi hiyo mitusi mliyoandaa mkaimimine kwenye shimo la choo.
Hebu jiulize kwa nini mfalme Suleiman alikua anamlilia Mungu amjalie hekima tu?
Wajina inamaana huoni tu kuwa Diamond ame-bite idea za ommy alizokua akimshirikisha? Au ndiyo mahaba?Mfano rejea kwny kauli alomwambia Ruge tena kwa kulalamika kuhusu bifu lake na kiba kwamba " hata kama mtu ni adui yako basi jaribu tu kuwa karibu naye kama Mimi nilivyo na Dimpoz apa " kama ulimsikia Ommy amesema alijiuliza kwann anachukuliw kama Adui lkn hakuuliza. Sasa wew mshabk jiulize kwann Diamond aliyazungumza hayo mbele ya Ommy . utagundua kwamb pengn tayari kuna chuki ilianz kuingia kati yao ambapo either Ommy alikuw snitch kweli au kuna mtu wa pembeni alikuw anamjaza maneno Diamond ndo maan akaw anajitoa taratbu kwa Ommy kwa mentality aliyojijengea kuwa Ommy ni snitch kwake
Kama we ni mtoto wa kiume,dunia ina kazi sana.Kunywa maji upunguze uchungu
Views atanunua [emoji13]Kula like
Namjua sana huyu bwana mdogo tangu anapoanza muziki ana busara sana ila dogo Diamond tangu afanikiwe amekuwa na roho mbaya sana tangu tukutane pale Posta siku moja akajifanya eti hanijui na hakutaka hata salamu..![emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Nimekuja kugundua diamond ana roho mbaya aiseeee,big up ommy
Unakimbia swali.Yale yaleeeee!!!
this time imekua kinyume, mond amemu-attack Ommy alafu ommy akam-outsmart ndomo amepanic sasa.Mondi ndio benchmark na ngazi yao ya kupandia,ili utoke lazima umuattack mondi