Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Waga nakubali sana miziki ya dai
Lkn kumbe hana akili huyu jamaa

Masabiki tunaanza kumuhama
wew ndo utakuwa huna akili kwa kutekwa na maneno ya Ommy moja kwa moja. Iv huwez kujiuliza kwanin Mondi alianza kujitenga na Ommy. Na je,wew ukigundua rafk yako wa karibu ni snitch utaendelea tu kumdekeza eti kisa uonekane na utu. Akikusaliti ukajua amekusaliti utaendelea tu kuendelea naye. Kwanza yawezekana Mondi amemsitiri sana jamaa endapo angeongea yote yaliyomfanya ajitenge na Ommy taratibu pengne Angeonekana mbaya zaid
 
Ivi anawabania kivipi kwani ye anazipataje izo connection. Kwanza kwa ukubwa wa Ommy mpk kachukua tuzo za kimataifa bdo tu alitaka aendelee kutafutiwa. Kwann asitafute izo connection mwenyew. Mi nnchokiona Ommy ameamua kuongea vile kutafuta huruma kwa jamii na kaondok na kijij kwel kwa watu wanaoamin kila wanachokisikia
 
" You can take a man from a village But you can't take a village from a man", huyu ndio Simba wenu anakurupuka sana kwenye mambo ambayo anatakiwa atulie ajibu kama international and national figure, awe anamtumia manager wake kujibu issue banaa, nini maana ya kuwa na management?? Huyu jamaa amejiangusha sana.period.
 
Kumlala mama yako sio cha kushangaza!!!!
Sio cha kushangaza... kwani inathibitisha kwa viumbe vingine, unaweza kumkwea mama tu kama kuku wanavyofanya... hizi taratibu za do nd dnt tumeziweka wenyewe.
 
Ila ushoga ni kwa mfanyaji na mfanywaji... wote ni wale wale... kama rushwa tu.
 
Watu wajiulize kwanza kwa nini AY alimuondoa Ommy kwenye lebo yake. AY ndo amewatoa wasanii wote kwenye connection za nje ya nchi lakini shangaa Chibu amekomaa na Ommy analalama. Angekuwa hana tatizo basi AY angemuachia connection za kutosha.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ivi unajua kuwa we ni chizi????
 
Kama mtu una akili vizuri ukisikiliza maelezo ya watu wawili hao utajua wapi pako sawa.

Mondi anajua ila maelezo yake yamejaa kejeli na kupayuka sana.

Ivi umeona lile swali ommy alivyo ulizwa kuhusu kupuliwa alivyo jibu... jamaa kama vile alisomea diplomasia chafu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wanahoji kwanini ajawahi kujifungia chumbani na demu, au anaogopa mechi? Hizi nyingine tantalila tu.
 
Mimi nataka kuretire mwenzenu kwenye haya mambo, nitakua nawatembelea thou, likes likes sitashindwa [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Povu litoke wapi wakati amekamatwa kila mahali,Dimpoz alichochemsha ni kujiunga na Ally Kiba kumponda Diamond public
dimpo hayupo vizur na diamond hata kabla hayupo karibu na kiba.
 
Sikuwahi kujua kuwa Ommy ana busara hivi.
 
Sikuwahi kujua kuwa Ommy ana busara hivi.
Hayuko na busara kihivyo huyo kijana, ni uoga ni uoga wa kuendeleza vita na mtu mswahili anayeweza akaongea shombo nyingi kuliko hyo siri aliyoifichua ya kukataa kumpumlia Omary ilihali Ommy hakuwahi amini jamaa yake angetoboa siri,ila namsifu kwa kujirudisha chini kwani ni busara sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…