Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Ivi ndo yule ommy aliesema hawezi kufa maskini kama ngwea.
Ivi ni yule ommy alie like picha ya yule mtukananaji (shishi boy).
Ni yule ommy aliesema mond ananunua views.
Ni yule ommy alisema kama mond mziki wake wakijanjajanja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo mana mond aliimba binadamu wabaya[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji4] ndo mana akaimba je utanipenda .rafiki ndo adui wa kesho[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] acheni zenu bhana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee mkuu yaan wabongo wanamatatizo sana. Yaani ni vichwa maji sijapata kuona. Mtu katoa vijembe weee mpk kamaliza lkn Alipounguruma Simba Mara moja anaonekana ye ndo mbaya. Leo kila mtu amemuamini Ommy kwa maneno ya kinafki aliyoyaongea ... Ommy amejua kucheza na wengi wenye kutazama mambo kama yalivyo na kupokea pasipo kufikiri nyuma ya pazia. Amini nakwambia Ommy aliyoyasema siyo aliyikusudia ni kundi kubwa la Haters wastaarabu wamempanga ili Aeneze chuki kwa Diamond. Leo kila mtu kamuona Ommy wa maana, uyu uyu aliyelike post ya kumtukana mtoto wa Diamond kuwa afe na watu waliona lkn wamejisahaulisha. Ommy uyu uyu aliyesema hawezi kufa maskini kama ngwea leo wanamsifia Anabusara. Wamesahau kbs ule msemo wa Shetani anasura mbili
 
Ni jirani yako?

Ndugu yako?

Au mtu wako wa karibu sana?

Au wewe team mond tu?
Kwani we huoni watu wangapi kawatoa kimaisha. Hujui kbs Diamond anawatu wangapi amewaajili kwenye kampuni yake. Umewahi sikia ata mmoja labd alalamike kunyonywa kimaslahi au kukandamizwa na Mondi kwa namna yeyote. Vp makundi mengi bongo yamekuwa na migongano ya kimaslah lkn hatujaskia itokee WCB. Unawezaje kumsema uyo mtu mbaya. Ubaya wake nini? Unataka ata masnitch na wanafki kama Ommy anayechekelea mtot wa mwenzake kuombewa kufa naye amvumilie tu. Nyie binadamu wagumu sana mlio na chuki kwa watu msiowajua ata
 
Hivi Tanzania ina mitambo ya kuzalisha wajinga? Hapa umeandika upuuzi gani?
Duh we jamaa noma. Facts zote alizotoa mchiz hujaelewa kwel mwalimu wako alikuwa na shughuli pevu kukufundisha ujue kusoma
 
Vijembe katika muziki havijaanza leo sisi tunaoupenda na kundelea kuuenzi muziki wa zamani tunayajua hayo kuanzia salum abdalah; mbaraka mwinshehe alivyoimba jogoo la shamba ilikuwa dongo kwa mtu nyimbo kama chatu au talaka rejea yote yalikuwa madongo hayo hamza kalala alivyoimba nimekusahe ilikuwa ni dongo kwa maneti lakini vijembe hivyo havikuweza kutengeneza uadui mkubwa kama tunaouona hivi sasa.
Nikirudi kwa hawa vijana nimesikiliza mahojiano yao na kupata picha kuwa wote kuna maeneo wameongea vizuri na pia kuna maeneo wameteleza wote sasa bado ni vijana hawa wana nafasi kubwa ya kujirekebisha nyinyi mashabiki ambao wengine mna ukaribu nao ni jukumu lenu kuwashauri kwa mustakbali mzima wa kazi zao na ili muziki huu uzidi kwenda mbele.
 
Aisee mkuu yaan wabongo wanamatatizo sana. Yaani ni vichwa maji sijapata kuona. Mtu katoa vijembe weee mpk kamaliza lkn Alipounguruma Simba Mara moja anaonekana ye ndo mbaya. Leo kila mtu amemuamini Ommy kwa maneno ya kinafki aliyoyaongea ... Ommy amejua kucheza na wengi wenye kutazama mambo kama yalivyo na kupokea pasipo kufikiri nyuma ya pazia. Amini nakwambia Ommy aliyoyasema siyo aliyikusudia ni kundi kubwa la Haters wastaarabu wamempanga ili Aeneze chuki kwa Diamond. Leo kila mtu kamuona Ommy wa maana, uyu uyu aliyelike post ya kumtukana mtoto wa Diamond kuwa afe na watu waliona lkn wamejisahaulisha. Ommy uyu uyu aliyesema hawezi kufa maskini kama ngwea leo wanamsifia Anabusara. Wamesahau kbs ule msemo wa Shetani anasura mbili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha tuene time will tell
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Kwamba diamond alimzuguka kwny kufanya collabo ya davido n kwa iyanya
Labda mi ndo sijaelewa ila nimemsikia hivi ilibidi alipe dollar 3000 apate kolabo na davido wakakubaliana hivyo na sallam.....kesho salam akaja akamwambia mondi atatoa dollar elfu 5 apate collabo na davido.
Kwa tasfir yangu navyoona kwamba hamna ubaya wowote coz si mondi wala omi aliekuwa na connection na davido isipokua sallam. Na sallam alikua ni kama dalali alikua anaangalia wapi kuna ofa nzuri aweke connection apige pesa nzuri. Omi angepanda dau kama vile mwenzie alivyopanda kutoka elfu 3 mpk elfu 5.
 
Mbona a hata Bob Junior nasikia alikuwa anamlala huyo mama. Hiyo family I think ina shida kama kweli kila j5 wanamalizana
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji31] [emoji31] [emoji31] kwahiyo Bob junior ni baba ake dimond
 
Labda mi ndo sijaelewa ila nimemsikia hivi ilibidi alipe dollar 3000 apate kolabo na davido wakakubaliana hivyo na sallam.....kesho salam akaja akamwambia mondi atatoa dollar elfu 5 apate collabo na davido.
Kwa tasfir yangu navyoona kwamba hamna ubaya wowote coz si mondi wala omi aliekuwa na connection na davido isipokua sallam. Na sallam alikua ni kama dalali alikua anaangalia wapi kuna ofa nzuri aweke connection apige pesa nzuri. Omi angepanda dau kama vile mwenzie alivyopanda kutoka elfu 3 mpk elfu 5.
Yap n huo ndo ukweli n hata mara ya kwanza davido alivyokuja bongo clouds walimleta kupitia salam yeye ndo alikuwa anawa link davido n clouds na ndipo ukaribu wa salam n diamond ulipoanza
 
Mbona alifuta km hamna ubaya
Je wajua [HASHTAG]#simba[/HASHTAG] [HASHTAG]#diamond[/HASHTAG]
e0878304e30a9a9faf7b97bb499559a3.jpg
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] simba gani?

KaChezeshwa sindimba
 
Aisee mkuu yaan wabongo wanamatatizo sana. Yaani ni vichwa maji sijapata kuona. Mtu katoa vijembe weee mpk kamaliza lkn Alipounguruma Simba Mara moja anaonekana ye ndo mbaya. Leo kila mtu amemuamini Ommy kwa maneno ya kinafki aliyoyaongea ... Ommy amejua kucheza na wengi wenye kutazama mambo kama yalivyo na kupokea pasipo kufikiri nyuma ya pazia. Amini nakwambia Ommy aliyoyasema siyo aliyikusudia ni kundi kubwa la Haters wastaarabu wamempanga ili Aeneze chuki kwa Diamond. Leo kila mtu kamuona Ommy wa maana, uyu uyu aliyelike post ya kumtukana mtoto wa Diamond kuwa afe na watu waliona lkn wamejisahaulisha. Ommy uyu uyu aliyesema hawezi kufa maskini kama ngwea leo wanamsifia Anabusara. Wamesahau kbs ule msemo wa Shetani anasura mbili
Ndo maana anajiita Simba. Akiunguruma mara moja basi pori lote linarindima na kila mmoja anatoa sauti. Kuna watu wengi hawaamini kama Simba angetoka kimaisha. Mbona wkt ule anafukuzwa Bongo star search na wakina Rita na Master Jay watu walikaa kimya? Sasa hivi kila mtu anakuwa hakimu. Mnajua amepitia magumu mangapi kufika hapo?
Kuna siku Sallam alisema alipeleka mziki wa Diamond pale Dstv Dar ila wakamkatalia. Ikabidi aende Nigeria ili aweze kuuingiza kupitia Dstv Nigeria na akafanikiwa. Hapo husikii watu wakiwalaumu Dstv Dar.
Watanzania wengi unafiki umetuzidi. Tunahukumu upande unaotupendeza tu. Pia tukumbuke kuwa Diamond ni binadamu na anasikia maumivu na ana mapungufu kama wote tulivyo.
 
Kwani we huoni watu wangapi kawatoa kimaisha. Hujui kbs Diamond anawatu wangapi amewaajili kwenye kampuni yake. Umewahi sikia ata mmoja labd alalamike kunyonywa kimaslahi au kukandamizwa na Mondi kwa namna yeyote. Vp makundi mengi bongo yamekuwa na migongano ya kimaslah lkn hatujaskia itokee WCB. Unawezaje kumsema uyo mtu mbaya. Ubaya wake nini? Unataka ata masnitch na wanafki kama Ommy anayechekelea mtot wa mwenzake kuombewa kufa naye amvumilie tu. Nyie binadamu wagumu sana mlio na chuki kwa watu msiowajua ata
Yote Tisa

Kumi mondi anaroho mbaya alafu kwa sasa huwezi sikia fununu sababu bado vijakazi wake wapo kwenye ajira ukitaka kuyajua subiri litokee timbwili kama hili ndiyo utashangaa hata ndugu wa damu yake wanatoa yarohoni

Vipi mkuu umekula lakini?
 
cloudz wachonganishi sana!
haikuwepo haja ya kuwaita tofauti..
kwanini wasingewaita wote jana
kila mtu akajieleza..
wakakosoana

kesi za upande mmoja ngumu kuzijudge kwakweli
Wewe sasa ndo mwenye macho ya ziada
Clouds media ndio jipu kubwa la hawa wasanii wa bongo
 
Ndo maana anajiita Simba. Akiunguruma mara moja basi pori lote linarindima na kila mmoja anatoa sauti. Kuna watu wengi hawaamini kama Simba angetoka kimaisha. Mbona wkt ule anafukuzwa Bongo star search na wakina Rita na Master Jay watu walikaa kimya? Sasa hivi kila mtu anakuwa hakimu. Mnajua amepitia magumu mangapi kufika hapo?
Kuna siku Sallam alisema alipeleka mziki wa Diamond pale Dstv Dar ila wakamkatalia. Ikabidi aende Nigeria ili aweze kuuingiza kupitia Dstv Nigeria na akafanikiwa. Hapo husikii watu wakiwalaumu Dstv Dar.
Watanzania wengi unafiki umetuzidi. Tunahukumu upande unaotupendeza tu. Pia tukumbuke kuwa Diamond ni binadamu na anasikia maumivu na ana mapungufu kama wote tulivyo.
We unayemsfia unamjua?
 
Back
Top Bottom